ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Haki ni sawa upende usipende! Bali maelewano ni muhimu sanaSi mnatuleteaga za haki sawa?amekula ya mbuzi acha aote....?
Haki ni sawa upende usipende! Bali maelewano ni muhimu sanaSi mnatuleteaga za haki sawa?amekula ya mbuzi acha aote....?
Na ajawai kupewa..Kuomba hela 'kama mara mbili ivi' ndo kuomba hela 'kila mara'?
Mkuu rudia kusoma vizuri,demu anakazi nzuri.na jamaa ameomba hela kama Mara mbili na ajawai kupewa hata Mara mojanikulize swali mleta Uzi...huyo jamaa alivokopa Mara ya kwanza hela Je aliirudisha?? na kama alirudisha kwanini hii ya pili asimkopeshe tena
Dada,wakati ujao uzingatie alama za kiuandishi.Nina rafiki yangu ana kazi nzur tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba ela kama mara mbili ivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho uyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha uyo rafiki yangu kuwa siyo supportive.je wanaume ni sawa kuwa unaomba mkopo kwa girlfriend kila mara?na wadada ni sawa kweli kumpa boyfriend ela au kushare biashara nae?
hata mimi namuacha siku hiyo hiyo. nimeomba unikopeshe sio unipe na nimekwambia nakupa mwisho wa mwezi na sijawahi kukuomba au kukuzulumu.Tatizo mmeshazoea kupewa na wanaume, mkiobwa ninyi mnashangaa mpk kuja kuuliza huku. Mapenzi ya kweli hayana mipaka
tafuta maji unywe haraka kabla hujakata rohoDada,wakati ujao uzingatie alama za kiuandishi.
Au mwenzetu MuAfghanstan? Yani umenifanya nisome mfululizo hadi pumzi ikakata
Wanawake hawataki haki sawa ila wanataka usawa.Naomba laki my tena unabana na pua,ukiombwa wewe unakuja mbio kulia huku,kwani haki sawa mlidhani ni kwa nguruwe?
mmmmmmhh!!!hayaaInategemea unavyo Mtreat hata kama hana kipato kikubwa atakupa zawadi tuu mpende msikilize MPE ushaur dekeza
Utawaacha wengi ndivyo walivyo. (Japo kuna outliers)hata mimi namuacha siku hiyo hiyo. nimeomba unikopeshe sio unipe na nimekwambia nakupa mwisho wa mwezi na sijawahi kukuomba au kukuzulumu.
mbona miminakupa na sikudai? wewe kunipa na unidai kuna shida gani?
Nina rafiki yangu ana kazi nzuri tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba hela kama mara mbili hivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho huyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha huyo rafiki yangu kuwa siyo supportive, je wanaume ni sawa kuwa unaomba mkopo kwa girlfriend kila mara? Na wadada ni sawa kweli kumpa boyfriend hela au kushare biashara nae?
aiseee hatari sanaUtawaacha wengi ndivyo walivyo. (Japo kuna outliers)
Mwanamke anamshahara lakini anahongwa na bodaboda anaeingiza buku 3 kwa siku. Chuo wote mnamkopo asilimia sawa ila yeye anataka zako. Kwenye suala la uchumi mwanamke humtoi mzee...
Usipokuwa na nidhamu ya pesa kwa hawa viumbe utashangaa upo pale pale...aiseee hatari sana
kabisa aisee, ndio maana Biblia imetuamuru, tuishi nao kwa akili na tuwapende piaUsipokuwa na nidhamu ya pesa kwa hawa viumbe utashangaa upo pale pale...
Hata ya kwetu Mbeya hayapo hivyolabda ya mbeya, coz ya mwika hayako hivi..teh!

Hahaha, nimegusa pabaya sio!!Hata ya kwetu Mbeya hayapo hivyo![]()
![]()
![]()