Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,536
hahha..always at the receiving end.Tatizo mmeshazoea kupewa na wanaume, mkiobwa ninyi mnashangaa mpk kuja kuuliza huku. Mapenzi ya kweli hayana mipaka
hahha..always at the receiving end.Tatizo mmeshazoea kupewa na wanaume, mkiobwa ninyi mnashangaa mpk kuja kuuliza huku. Mapenzi ya kweli hayana mipaka
Hahahahaha bado haijatoka mkuuHivi ratiba ya SUP ishatoka ama? Tunataka utulivu humu!
Mpenzi wako anajiweza, Hublot zawadi nzuri.Me huwa siombagi Hela ila mpenz wangu ananipaga ye Mwenyewe na Suprise za Zawad kibao last time kaninunulia Hublot watch so suala la kupata Mwanaume muelewa tuu
Bakita????Hivi ni wizara/taasisi gani inayosimamia ukuaji wa lugha yetu ya kiswahili??
Hali ni mbaya mno....okoeni jahazi linazama
Inategemea unavyo Mtreat hata kama hana kipato kikubwa atakupa zawadi tuu mpende msikilize MPE ushaur dekezawajameni nifanyeje ili nami nipate wa kunipa hela,maana sina bahati hiyo ati!!
ela ndio nini?Nina rafiki yangu ana kazi nzur tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba ela kama mara mbili ivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho uyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha uyo rafiki yangu kuwa siyo supportive.je wanaume ni sawa kuwa unaomba mkopo kwa girlfriend kila mara?na wadada ni sawa kweli kumpa boyfriend ela au kushare biashara nae?
Sijui hii lugha yetu watumiaji wanaichukulia vipi yaani siku hizi mtu anajiandikia anavyotaka, ebu tuangalie huyu mdau alichoaandika! inasikitisha kwa kweli.Nina rafiki yangu ana kazi nzur tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba ela kama mara mbili ivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho uyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha uyo rafiki yangu kuwa siyo supportive.je wanaume ni sawa kuwa unaomba mkopo kwa girlfriend kila mara?na wadada ni sawa kweli kumpa boyfriend ela au kushare biashara nae?
Ni yeye mwenyewe ↶↶↶ ila hawaja mature enough wakikua wataachamwambie hasijaribu kutoa hiyo hela atakuja kujuta pesa hatorudishiwa ila Mme atapata mwingine mwanaume gani akurudishie hiyo pesa? tunasharega wapenzi bila kujua ila sio pesa aku sikupi hela yangu tho niko radhi kukupa zawadi sio pesa loh
Ni hawa vijana toleo jipya, sijui wamekula maharage ya wapi.Nafurahi kuona humu watu wapo makini na lugha(mwandiko) isiyoeleweka. Kusema kweli lugha yetu inaandikwa na kuzungumzwa vibaya.
labda ya mbeya, coz ya mwika hayako hivi..teh!Ni hawa vijana toleo jipya, sijui wamekula maharage ya wapi.