Nia yao wakushughulishe tuHivi mnaotembea na kutingisha mzigo ni urembo au ni kitu gani,naona sielewi ,kusema kweli wananishughulisha vibaya mno kitu gani kinawafanya wawe wanaendaga kama wanakasolo.
Labda wakatujulisha sababu maana sio wote,kusema ni ugunjwa sidhani.Sasa wewe inakusumbua nini mkuu hawo wanawake labda wewe mwanaume waachie ulimwengu wao
Yupo mmoja kwenye mitandao ya short clip ka anawazimu ,yaani hajali,kapo kajizungu hivi kamejazia jazia tume namba 8 ,nalinganisha na hawa wa kwetu hana tofauti.Kavideo huna?
Neema za AllahYupo mmoja kwenye mitandao ya short clip ka anawazimu ,yaani hajali,kapo kajizungu hivi kamejazia jazia tume namba 8 ,nalinganisha na hawa wa kwetu hana tofauti.
yaani ka tupo kijiweni basi sote inatokea ghafla tupo kimya,aafu tunasema kapita shetani.
sijajua kwanini wanamitetemo aafu unakuta kila mmoja na mtikiso wake?
Hapa kidogo napata kajipicha hivi , ila watatunasa wengiNi mtego sio urembo...
Biashara matangazoHivi mnaotembea na kutingisha mzigo ni urembo au ni kitu gani,naona sielewi ,kusema kweli wananishughulisha vibaya mno kitu gani kinawafanya wawe wanaendaga kama wanakasolo.
Subiri waje wenye misambwanda Yao ......