you have a point ila sidhani rais kama atawamaliza maprof.Binafsi huwa najiuliza, hivi dhana nzima ya kujaza madokta na maprofesa kwenye safu yake ya uongozi kunaleta tija gani?
Je, hao wana utaalamu wa kutosha kufanya kile wanachotakiwa kufanya? Au ni waaminifu katika utendaji wao?
Isitoshe wengi ya hao wanaoteuliwa wametolewa kwenye taasisi za elimu ya juu hususani vyuo vikuu.
Ukiangalia idadi ya madokta na maprofesa wanaohitajika katika vyuo vikuu Tanzania ni kubwa mno.
Binafsi nawafahamu waalimu wa chuo kikuu walioteuliwa kuongoza taasisi mbalimbali. Na wengi wamebobea katika nyanja ambazo utaalamu wao unahitajika kwa hali na mali hususani kwenye kufundisha na kufanya utafuti.
Muda wa kufanya tafiti na kuandika machapisho hawataupata tena.
Ni rai yangu kuwa JPM aachane na hii kasumba. Watu anaowahitaji sana sana ni watendaji ambao sio lazima wawe na elimu ya kutisha kama hawa watu.
Hawa watu wanahitajika vyuoni mwetu ambapo kuna uhaba mkubwa wa walimu na watafiti.
Acha JPM avitoe hivi vibabu, vinafanya shule iwe ngumu kazi kufelisha watoto, hukusikia sakata la degree za chupi? bora aviondoe tupate wahadhiri vijana wenye weledi, ukienda kenya kuna maprofesa wana miaka thelathini tu, tunahitaji UDSM mpya yenye wahadhiri wenye fikra mpya, hawa walioteuliwa wakirudi 2020 wanakuta vijana walishalisimika maofisini.Binafsi huwa najiuliza, hivi dhana nzima ya kujaza madokta na maprofesa kwenye safu yake ya uongozi kunaleta tija gani?
Je, hao wana utaalamu wa kutosha kufanya kile wanachotakiwa kufanya? Au ni waaminifu katika utendaji wao?
Isitoshe wengi ya hao wanaoteuliwa wametolewa kwenye taasisi za elimu ya juu hususani vyuo vikuu.
Ukiangalia idadi ya madokta na maprofesa wanaohitajika katika vyuo vikuu Tanzania ni kubwa mno.
Binafsi nawafahamu waalimu wa chuo kikuu walioteuliwa kuongoza taasisi mbalimbali. Na wengi wamebobea katika nyanja ambazo utaalamu wao unahitajika kwa hali na mali hususani kwenye kufundisha na kufanya utafuti.
Muda wa kufanya tafiti na kuandika machapisho hawataupata tena.
Ni rai yangu kuwa JPM aachane na hii kasumba. Watu anaowahitaji sana sana ni watendaji ambao sio lazima wawe na elimu ya kutisha kama hawa watu.
Hawa watu wanahitajika vyuoni mwetu ambapo kuna uhaba mkubwa wa walimu na watafiti.
Bado Tanzania inawahitaji.Acha JPM avitoe hivi vibabu, vinafanya shule iwe ngumu kazi kufelisha watoto, hukusikia sakata la degree za chupi? bora aviondoe tupate wahadhiri vijana wenye weledi, ukienda kenya kuna maprofesa wana miaka thelathini tu, tunahitaji UDSM mpya yenye wahadhiri wenye fikra mpya, hawa walioteuliwa wakirudi 2020 wanakuta vijana walishalisimika maofisini.
Wengi husomea ufisadi wengi ni wezi wa kalamu hutumia usomi wao kuiba kijanja pasipo kujulikana,kwa kifupi wanaojiita wasomi Tanzania hawana uchungu na rasilimali za Taifa wengi wapo kwa masilahi binafsi na michepuko yao,Maprofesa wa Tanzania ni tofauti na maprofesa wa Nchi zingine,mfano jaribu kuangalia Tabia ya Lipumba,kapuya,Tibaijuka,mbilinyi na yule PhD aliyenunua mabehewa feki na kuandaa mchakato wa Reli kwenda Airport.Ni kweli utendaji na uadilifu haupimwi kwa kuwa Profesa. Wapo maprofesa wavivu na mafisadi wa kutosha nchini.
Ni kweli hayo ndiyo mapungufu yao wengi wamekuwa wakifanya vioja huko vyuoniAcha JPM avitoe hivi vibabu, vinafanya shule iwe ngumu kazi kufelisha watoto, hukusikia sakata la degree za chupi? bora aviondoe tupate wahadhiri vijana wenye weledi, ukienda kenya kuna maprofesa wana miaka thelathini tu, tunahitaji UDSM mpya yenye wahadhiri wenye fikra mpya, hawa walioteuliwa wakirudi 2020 wanakuta vijana walishalisimika maofisini.
Uchumi unakuwa vp wakati mzunguko wa pesa hakuna? Hata thamani ya dola dhidi ya shilingi bado inazidi kupaa.Acha aendelee kuteua tu huoni UCHUMI UNAVYOPAA, UTALII JUU, HUDUMA ZA AFYA KAMA ULAYA, MAJI BWERERE HADI VIJIJINI, UCHUMI WA MWANANCHI MMOJA MMOJA UNAKUWA KWA KASI?
Ndo maana nasema waende vyuoni wakafundishe. Na watu wa masters ndo wawe watendaji.Wengi husomea ufisadi wengi ni wezi wa kalamu hutumia usomi wao kuiba kijanja pasipo kujulikana,kwa kifupi wanaojiita wasomi Tanzania hawana uchungu na rasilimali za Taifa wengi wapo kwa masilahi binafsi na michepuko yao,Maprofesa wa Tanzania ni tofauti na maprofesa wa Nchi zingine,mfano jaribu kuangalia Tabia ya Lipumba,kapuya,Tibaijuka,mbilinyi na yule PhD aliyenunua mabehewa feki na kuandaa mchakato wa Reli kwenda Airport.
Binafsi huwa najiuliza, hivi dhana nzima ya kujaza madokta na maprofesa kwenye safu yake ya uongozi kunaleta tija gani?