Kutendwa kunanitesa

Kutendwa kunanitesa

Una kipaji maalum ndugu, miaka sita wapenzi?? Aiseeee hiyo ni zaidi ya tetemeko
 
Umeona ndugu huyu jamaa analo jibu astupotezee muda tusaidie wengine wenye kutaka ushaur wa kwel na wala c kebehi
 
How Do You Spend 6 Goddamn Years With One Bitch???!
That Deserves An Award.
 
Wewe piga pu.mbu then ingia mitini,usiweke kambi kwa mtu kwa kujifanya unajua kupenda.wanawake sio viumbe wa kuwaamini hata robo sekunde jomba.
 
Habari wanandugu.
Nina miaka 30 sasa chini ya jua hili. Naishi peke yangu. Sina mchumba wala mpenzi ila natamani sana kama niwe na mwenzangu japo wa kubadilishana nae mawazo usiku lakini moyo umekua mzito sana. Niliwahi kuwa na mpwnzi ambayw nilika nae kwenyw mahusiano kwa muda wa miaka 6 lakini nilipotaka kumpeleka kwetu nimtambulishe rasmi aliniruka kama hanijui vile. Ni mwaka sasa tangu nimeachana nae lakini bado sumu aliyoiacha moyoni mwangu inaendelea kunitafuna juu ya mapenzi. Nisaidieni mawazo hapa nifanyaje kuondokana na hali hii...
Unalialia nin mwanaume ww!!!
 
Malipo ni hapa hapa duniani,relax what goes around comes around Mungu yupo kazini hata yeye yatamkuta tu alipo.
 
Pole mkuu....hawa wenzetu waamini salamu tu.
 
Cha secondary ni kusahau yote uliyopitia nyuma ww songa mbele maisha yenyewe siku hayaeleweki changamkia fursa dada
 
Pole sana. Jaman binadam ni kaz leo we unalaumu umetendwa na mwanamke ila mm ntalaumu mwanaume. Sasa tufkie tuone kila kitu kinamakusudi yamkini Mungu anasababu kukupitisha kwenye uchungu huo. Kuna kuzur chaja
 
Watakuja pale ambapo huwahitaji... kwa sasa huwezi kuwapata kwa sababu una ukame sana...
 
Wewe piga pu.mbu then ingia mitini,usiweke kambi kwa mtu kwa kujifanya unajua kupenda.wanawake sio viumbe wa kuwaamini hata robo sekunde jomba.

Mkuu, umezaliwa na mwanamke au umejizaa? Wewe huna ndugu wa kike? Au na wenyewe ndio walewale?

Vv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom