Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Samehe, acha maisha yaendelee...
mmh pole! ila si kweli kuwa wanawake wote sawa! hata siye tunateswa na baadhi ya wanaume tena sana tu! ila pole...njooo nkupoze kiaina wakati unasubiri wa kuanzisha nae tena kwa miaka mingine sita!...
changamkia fursa hiyo acha kushangaa shangaaUnataka kunipoza tena
kwani wewe mwanaume?Yaani wewe unamawazo kama mimi dah
![]()
Ukikaa tu hivyio mwenyewe utaendelea kuteseka, tafta hata wa mda tu huku unatafta atakae kufaaaHabari wanandugu.
Nina miaka 30 sasa chini ya jua hili. Naishi peke yangu. Sina mchumba wala mpenzi ila natamani sana kama niwe na mwenzangu japo wa kubadilishana nae mawazo usiku lakini moyo umekua mzito sana. Niliwahi kuwa na mpwnzi ambayw nilika nae kwenyw mahusiano kwa muda wa miaka 6 lakini nilipotaka kumpeleka kwetu nimtambulishe rasmi aliniruka kama hanijui vile. Ni mwaka sasa tangu nimeachana nae lakini bado sumu aliyoiacha moyoni mwangu inaendelea kunitafuna juu ya mapenzi. Nisaidieni mawazo hapa nifanyaje kuondokana na hali hii...
Yani kaka usiseme wanawake tu Bali inategemea na kichwa cha mtu mimi nilikuwa na boy wangu nilimpenda kichiz na kumshirikisha kila kitu mwisho Wa siku ni kitu kibaya kafanya hapo ni roho ya MTU tu ucseme ni wanawake wapo hivoDuuh miaka 6? inaonyesha uliingia mazima,wanawake sio viumbe wa kawaida hao wana ushirika na shetani.
ukiishi na mwanamke tambua upo jirani na jini,dawa yao unagegeda unakula kona
unajua nini dada elizabeth wanaume wa hivyo wapo sana ila wanawake wengi wamezidi mno,na wengi wao wameharibu sana future za wanaumeYani kaka usiseme wanawake tu Bali inategemea na kichwa cha mtu mimi nilikuwa na boy wangu nilimpenda kichiz na kumshirikisha kila kitu mwisho Wa siku ni kitu kibaya kafanya hapo ni roho ya MTU tu ucseme ni wanawake wapo hivo
bhasi sawa dadaMmmh bac ukweli utabaki tu kuwa ni moyo Wa MTU na roho yake mbona mm ameniaribia vingi na amenifanya nisipende hyo ni moyo Wa MTU tu
pole dada, wapo wanaume waaminifu Kabisa ila kuna kitu kinaitwa BAHATI NA WAKATI.hakuna anaeweza kunifariji ! wala siitaji hyo faraja labda mtoto tu sio mwanaume yoyote
umenifny nimechk ndn ya public transport watu wamenicheck kinoma wanahic nimechizikammh pole! ila si kweli kuwa wanawake wote sawa! hata siye tunateswa na baadhi ya wanaume tena sana tu! ila pole...njooo nkupoze kiaina wakati unasubiri wa kuanzisha nae tena kwa miaka mingine sita!...
We jamaa nadhan tunaweza kuwa tunafanana kiasi. Mtu majibu unayo, halaf unaanza kusumbua watu, wanakushauri unaanza kuwapinga tena.Wewe unataka ushauri wa kutendwa harafu hutaki kushauriwa unataka ukae hivyohivyo sasa mbona umereta hii isues mezan bac ucngereta kabisa maana majbu ulikuwa nayo kumbe mbona unazngua ww