Kutembelea Rwanda

Kutembelea Rwanda

Status
Not open for further replies.
Next week niko Kigali, nafikia Gahinga kule,ila huwa na shinda sana sports view opp na amahoro stadium
 
Hata aibu huna.....yaani nifunge safari hadi Kigali kulitembelea njemba!!!! Ungekuwa mrembo ningekuja. Vinginevyo niendelee kumuwinda Jesca tu sababu hata yeye ni product ya kwenu huko......

Umeombwa kwani mpaka uanze kutoa kejeli madomo zege mtawajua tu ndio nyie hua mnaletewa mananasi ...
 
Imeniforce nicheke baada ya kuona hayo maziwa,

Mugihe ndari kwa dodo haya ikanombe, ndajyaga gufata amata ayongayo mukajagari. Yalikuwa matamu sana na cake moja matata. Nimekasana kgl.

Sio maziwa ya Dar wanywa waanza umwa kwash kor
 
Sio maziwa ya Dar wanywa waanza umwa kwash kor
Maziwa ya Dar yanaathiriwa na joto, na wachakachuaji ni wengi sana.

Kwa rubangura niho ndaja ufata abagore siku moja moja,
bado wanakuja pale nyuma?
 
Lakini nasikia huko kutembea usiku ni nadra unaweza lala central kimaskhara ... usiku wanajeshi ni wengi... WA TZ tukiona mjeshi huwa hatuna amani kabsa....
Wanakulaza mikono salaama, ila mimi walikuwa wananisindikiza mpaka home,. Nilikuwa naisha pale kanombe
 
Lakini nasikia huko kutembea usiku ni nadra unaweza lala central kimaskhara ... usiku wanajeshi ni wengi... WA TZ tukiona mjeshi huwa hatuna amani kabsa....

Hakuna nchi yenye usalama usiku au mchana kama rwanda tembea umelewa umefanyaje hakuna wa kukusumbua zaidi zaid ya kukusindikza kwenda kwenu kama umelewa zaid unalala nao lindo hawana shida na mtu askar wengi pia kule n vijana umri 22-
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom