munyambo p
Senior Member
- Aug 18, 2017
- 173
- 167
- Thread starter
- #61
biashara ya Pweza. maana sijaioyona kuleeeKuna demand ya biashara gani Rwanda
Wanyambo ni jamii ya watanzania waishio karagwe na ngara na biharamulo. Huyu atakuwa ntanzania aishie rwandaMkuu ivi munyambo ni majina ya Rwanda?
Hii iko sehemu gani mkuu?
Rwanda ni uzuri wake ni watoto wazuri tu.Proudly Rwandese![]()
Hapana wasikutisheSiku moja nitakuja....
Ila nasikia madada zenu wakauzu sana
Rwanda ni uzuri wake ni watoto wazuri tu.
Upo mji gani,Kigali,kiyovu,gisenyi,au nyamirambo?Habari zenu jamani huku kwetu hatujambo tunaendelea kufurahi na kumushukuru Mungu kwa kuturinda.
Jamani mtu ambae anataka kutembelea kwetu huku Kigali Ni karibu kabisa maana sisi sote Ni ndugu
Noted mkuuWanyambo ni jamii ya watanzania waishio karagwe na ngara na biharamulo. Huyu atakuwa ntanzania aishie rwanda