Kutembelea Rwanda

Kutembelea Rwanda

Status
Not open for further replies.
Sio wabantu

Ni Wabantu kwa asilimia kubwa maana walimix up na wabantu original kwa miaka mingi...japo hata kama origin yao ilianzia somalia..

Watutsi wale wa kung'aa kama Wasomali ni percent ndogo mno,maana hata ukiangalia TV yao wengi kwenye news na programs zao wana sura na maumbo kama Wahaya na wabongo tu...wale wa kung'aa ni wachache...as per my analysis japo sijwahi hata kanyaga huko...

Kinachowapa Wanyarwanda promo sana ni hiyo kua na vichembechembe vya Afroasiatic lineage kutoka horn of Africa,nothing else....

Na kwa jamii iliyo-advance zaidi economically na kiakili na kwa kila kitu East Africa hii I guess no one beats Kikuyus kama ethnic group ambao ni 100% Bantu people..

Sidhani kama kuna cha zaidi ukiacha self promo zinazopigwa about Rwanda kama exclusive ethnic group,I think they are average,nothing extraordinary about them essentially.

Haya nichambulie wewe sasa...
 
Acha unafki na roho mbaya, hao wanyarwanda unaosema wanamaisha duni hakuna hata mmoja anayelala nyumba ya nyasi nchi nzima, ukiona nyasi ujue ni nyumba za kimila, wanyarwanda wanakunywa maziwa, watoto wanalaptop shuleni huwezi kufananisha na Tanzania yetu!

Achana na waswahili hawa wana matatizo makubwa sana nchi yao imejaa siasa tu maisha magum umaskini uliowazidi ndo maana akili zao za maharage
 
Aiseeeh nakubaliana na wewe 90% , nimeishi na kukulia mikoa ya kanda ya ziwa karibu nao. Na kuna ndugu zangu wameoa huko ni balaa full kutom***ewa...

Pia ni malimbukeni full ushamba, kuna mmoja alimtongoza shemeji yake

Waswahili kule pwani kwani vepeee kama unachoongea n sawa kugogewa unagongewa popote kama wanaume wa Dar tu wanavogongewa na maisha yanaenda
 
Jamaa kwa kujisafisha nje wapo vizuri!Lkn ni nchi ambayo kuishi ni ngumu sana kwa kila kitu!Hata wao Tz ikiamua ikaze kabisa wataathilika pakubwa!Tatizo jingine walilonalo-ni wavivu na wajivuni!Hujiona wao ni zaidi ya kumbe bure kabisa!

Tz mshazoea maisha yenu ya kiswahili ndio maana hamuwezi kuish nchi smart kama Rwanda kule hakuna uswahil na ubabaishaji ndio maana mswahili hawez kuishi kule Tz kazeni mnavojua Rwanda iko palepale endeleeni kupaa na bombadia hakuna namna
 
Kwan wabantu na waisraeli n binadam au kuna mbwa na mbuzi hapo..??

Ukijibu maswali kwa kutumia ubongo utapungukiwa na nini?

Halafu si Mnyarwanda wewe?Unashindwa hata kujibu maswali kwa kutumia sober mind bila kutukana au kukejeli mtu?

Umeulizwa,"Wanyarwanda hua wanadai wana asili ya Israel,ni kweli au si kweli?"....Just answer that basi intelligently kuonesha kua Wanyarwanda ni vichwa na sio otherwise!
 
Habari zenu jamani huku kwetu hatujambo tunaendelea kufurahi na kumushukuru Mungu kwa kuturinda.

Jamani mtu ambae anataka kutembelea kwetu huku Kigali Ni karibu kabisa maana sisi sote Ni ndugu
Vipi demokrasia huko kwenu,immeminywa kiasi gani?
 
Wala usihangaike nao!Washamba flani na %99.9 ya mwanamke wa Rwanda hajui kumkataa mwanaume!

Nyie wa kariakoo ndio sio washamba dada zenu full kuvaa midosho hata hamjielewi waswahil gan ambao wana akili hasa jinsia ya kike
 
Ukijibu maswali kwa kutumia ubongo utapungukiwa na nini?

Halafu si Mnyarwanda wewe?Unashindwa hata kujibu maswali kwa kutumia sober mind bila kutukana au kukejeli mtu?

Umeulizwa,"Wanyarwanda hua wanadai wana asili ya Israel,ni kweli au si kweli?"....Just answer that basi intelligently kuonesha kua Wanyarwanda ni vichwa na sio otherwise!

Walidai wap na kama ni waisraeli au wabantu wewe unashindwa kula ugali wenu wa dona huko Tz au chips mayai za wanaume wa Dar SMH mnaweweseka na Rwanda utadhan washawagongea madem zenu hum nyuzi n rwanda rwanda why not Burundi..??? hapana chezea Rwanda
 
Nyie Tz mko kongo mnakata viuno sisi hatuna mda kucheka na kenge kazi juu ya kazi yani bampa to bampa Jamii forums sio ya bibi ako pole sana sikulaumu wewe nalaumu wewe kukulia kwa bibi yako mzaa mama wakati mama ako ako anauza chakula kwa mafundi gereji na ndo baba zako wale
Dissin', but got pictures with me smilin' though
All the things you need, you still want problems though
 
Walidai wap na kama ni waisraeli au wabantu wewe unashindwa kula ugali wenu wa dona huko Tz au chips mayai za wanaume wa Dar SMH mnaweweseka na Rwanda utadhan washawagongea madem zenu hum nyuzi n rwanda rwanda why not Burundi..??? hapana chezea Rwanda

Your level of ignorance is really beyond comprehension...You are so disturbingly ignorant of your own country and ethnic group...

Nani kazungumzia dona na chips hapa?Hata kama Mbongo anakula Dona na Chips,nyie Rwandese mnakula gold?

Kugongewa madem panakujaje hapo?Na nani kakwambia nimegongewa dem?Au umegeuka mganga wa jadi unapiga ramli?

Nimegundua discussing with you anything is a waste of your time and mine too.

Heri mtu a-discuss na one of Rwandese sober minds in Munyambo P and others,not some head case like you!
 
Proudly Rwandese dadeeeki Tema povu la baking Soda sinaga shobo na waswahili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom