Nini kinakuzuia usifanye sasa??mi sijui kama ni upendo wa dhati au lah ila huwa nawaona sana watu weng wako ivo na huwa nataman nakupenda siku moja namim nifanye ivo ambapo kwangu mi itakuwa ni upendao wa dhati kati yangu na my wife.
hahaha....kumbe sijatoa sababu....nasubir nije kuoa now bado mkuu.Nini kinakuzuia usifanye sasa??
Umeoa?Nijuze wanajukwaa,hivi mume na mke kutembea barabarani wakiwa pamoja( wakati mwingine wamempakata mtoto)',kanisani wote, mvua au jua wore in UPENDO WA DHATI AU DANGANYA TOTO!!!
Ninani anaye jua kipimo cha upendo kati ya wawili hao zaid yao wenyewe?? Swali la kitoto sana hili shuke zifingue haraka mtupishe huku.Nijuze wanajukwaa,hivi mume na mke kutembea barabarani wakiwa pamoja( wakati mwingine wamempakata mtoto)',kanisani wote, mvua au jua wore in UPENDO WA DHATI AU DANGANYA TOTO!!!
Shuke au shule?Ninani anaye jua kipimo cha upendo kati ya wawili hao zaid yao wenyewe?? Swali la kitoto sana hili shuke zifingue haraka mtupishe huku.
Kama kimeeleweka kilicho kusudiwa haina shida wajuvi watartekebisha mkuu.Shuke au shule?
Kwahiyo na hapo kwenye red unawasubiri hao wajuvi waje warekebishe pia?Kama kimeeleweka kilicho kusudiwa haina shida wajuvi watartekebisha mkuu.
Mkuu sio lazima uwe umeoa,hahaha....kumbe sijatoa sababu....nasubir nije kuoa now bado mkuu.
Ni kutawaliwa kwa mwanaumeOngezea na kule kushona sare za gauni la kitenge kwa mwanamke na shati la kitenge hicho hicho kwa mwanaume. Na kama wana watoto wadogo na kitenge kinatosha na watoto nao wanaambulia mashati ya kwenda nayo kanisani.
hahaha....we mkuu unatak kuniponza....bado,mi nataka awe mke kishaoa tayar.Mkuu sio lazima uwe umeoa,
Hata Girlfriend mnaweza mkashikana tu mikono mkatembea pamoja
Mkuu upendo haupimwi kwa macho bali upendo upo ndani ya nafsi.Nijuze wanajukwaa,hivi mume na mke kutembea barabarani wakiwa pamoja( wakati mwingine wamempakata mtoto)',kanisani wote, mvua au jua wore in UPENDO WA DHATI AU DANGANYA TOTO!!!
Nikiangalia ukali wa avatar yako na ulichoandika, nahisi umewahi kuwa mwalimu msigwa wa mbeya dayKwahiyo na hapo kwenye red unawasubiri hao wajuvi waje warekebishe pia?
Hahahaa! Hapana Mkuu, hiyo ni moja ya style tu ya kumrekebisha mtu au kumuuliza kitu, na inatumiwa na wengi tu ni kawaida humu,Nikiangalia ukali wa avatar yako na ulichoandika, nahisi umewahi kuwa mwalimu msigwa wa mbeya day