Kutembea wawili wawili

Kutembea wawili wawili

Hahahaa! Hapana Mkuu, hiyo ni moja ya style tu ya kumrekebisha mtu au kumuuliza kitu, na inatumiwa na wengi tu ni kawaida humu,
unajua kuna aina fulani ya lugha ya uulizaji maswali utaipata JF tu!!

JF ipo kwa kufundishana na kurekebishana,

One love.
Pamoja sanaa
 
mi sijui kama ni upendo wa dhati au lah ila huwa nawaona sana watu weng wako ivo na huwa nataman nakupenda siku moja namim nifanye ivo ambapo kwangu mi itakuwa ni upendao wa dhati kati yangu na my wife.
Mmhh na mimi pia natamani kweli kufanya ivyoo..... Njoo basy tufanye wote
 
Tupo kwenye kipindi cha mpito kutoka uafrikani kuelekea uyuropian kwa hiyo vitu vingi tunaiga tu ila hisia na uhalisia viko mbali na vitendo vyetu.
 
Ni kutawaliwa kwa mwanaume
Kwa mtazamo huu basi wanaume wa ki-nigeria (na wanaume wengine wa nchi za Afrika Magharibi) wengi wao wametawaliwa na wake zao maana ndio zao kuvaa sare na wake zao!
 
Haijalishi kama ni kweli au kuzuga tuu machoni pa watu but ni nzuri kwa afya ya mtoto hasa kisaikolojia. Nadhani hakuna atakayebisha ya kwamba hakuna kitu kizuri kama kumuona baba na mama katika hali ya furaha na upendo.
 
Ongezea na kule kushona sare za gauni la kitenge kwa mwanamke na shati la kitenge hicho hicho kwa mwanaume. Na kama wana watoto wadogo na kitenge kinatosha na watoto nao wanaambulia mashati ya kwenda nayo kanisani.
Kama uliniona jana na wife na mwanetu
 
mi sijui kama ni upendo wa dhati au lah ila huwa nawaona sana watu weng wako ivo na huwa nataman nakupenda siku moja namim nifanye ivo ambapo kwangu mi itakuwa ni upendao wa dhati kati yangu na my wife.
Mkuu ivi bado unafundisha somo la kemia mjini iringa.
 
Back
Top Bottom