Kutembea wawili wawili

onlytruth

Senior Member
Dec 9, 2016
136
133
Nijuze wanajukwaa,hivi mume na mke kutembea barabarani wakiwa pamoja( wakati mwingine wamempakata mtoto)',kanisani wote, mvua au jua wore in UPENDO WA DHATI AU DANGANYA TOTO!!!
 
mi sijui kama ni upendo wa dhati au lah ila huwa nawaona sana watu weng wako ivo na huwa nataman nakupenda siku moja namim nifanye ivo ambapo kwangu mi itakuwa ni upendao wa dhati kati yangu na my wife.
Nini kinakuzuia usifanye sasa??
 
Nijuze wanajukwaa,hivi mume na mke kutembea barabarani wakiwa pamoja( wakati mwingine wamempakata mtoto)',kanisani wote, mvua au jua wore in UPENDO WA DHATI AU DANGANYA TOTO!!!
Ninani anaye jua kipimo cha upendo kati ya wawili hao zaid yao wenyewe?? Swali la kitoto sana hili shuke zifingue haraka mtupishe huku.
 
Nijuze wanajukwaa,hivi mume na mke kutembea barabarani wakiwa pamoja( wakati mwingine wamempakata mtoto)',kanisani wote, mvua au jua wore in UPENDO WA DHATI AU DANGANYA TOTO!!!
Mkuu upendo haupimwi kwa macho bali upendo upo ndani ya nafsi.
 
Ni upendo "wa dhati"
Ishu ya ndoa haina majibu ya moja kwa moja.

Upendo ni relative, kila couple ina namna yake ya kudhihirisha upendo wao.

Kuna wengine ni upendo, na kuna wengine wanaziba mashimo au makovu yaliyomo kwenye ndoa. Wengine wanajaribu kuonesha kuwa hawakukosea kwenye kuchaguana lakini pia wapo wanaolazimishwa na mmojawapo watoke au watembee pamoja ilhali hawapendi!
 
Nikiangalia ukali wa avatar yako na ulichoandika, nahisi umewahi kuwa mwalimu msigwa wa mbeya day
Hahahaa! Hapana Mkuu, hiyo ni moja ya style tu ya kumrekebisha mtu au kumuuliza kitu, na inatumiwa na wengi tu ni kawaida humu,
unajua kuna aina fulani ya lugha ya uulizaji maswali utaipata JF tu!!

JF ipo kwa kufundishana na kurekebishana,

One love.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom