Kutapambazuka!

Kutapambazuka!

Your thinking makes it so. Nchi za kiafrika zina laana, haiwezekani shida iwe Africa (mostly) tu.
Umewahi tafakari whu Africa?? Umewahi jiuliza chanzo cha laana??

Kuna sababu za NDANI YA BARA LENYEWE NA WATU WAKE (hasa kukosa maarifa ulafi ubinafsi na uchoyo). Na sababi ZA NJE YA BARA (Utumwa ukoloni unyonyaji ubeberu itandawazi soko huria...).

Btw. Laana inatokana na UTAJIRI WA RASILIMALI ZILIZOPO.
 
kwanini tusiseme waafrika kuwa hatuwezi maswala ya uongozi! au system imetushinda..?
nchi ngapi zimeweka upinzani lkn kama sie kama wao!.
kama hatuna viongozi wenye dira,tujue tu tumetumbukia!.
sio ccm tu hata huko tumejionea siasa za maji taka! unafikiri mtoto mdogo kama mimi nitakuwa sina mashaka kwa mkono huu wa mzazi mtapatapa..?
moja kati yaliyotupunguka ktk kuteuwa viongozi ni saikolojia!! hili linazidi hata elimu!.

kuwa na ccm au chadema au cuf ktk uongozi si tatizo!,tatizo ni kuwa na viongozi sahihi wenye dhamira ya dhati ktk kuipeleka nchi pazuri,tatizo si kutawala kwa mpito au milele bali kiongozi mwenye dira kwenye nchi yenye dira.

moja lakutafakari pili lakupigia mstari!,je ni kweli tunaviongozi wanaostahili..?
Na je. Mfumo wa dunia uliopo unayaruhisu hayo.

Jamaa kafurukuta kidogo tu kwenye kuzuoa wizi wa madini tayari wamelipiza kwa kukamata mali zetu zilizopo huko kwao.
 
Kweli kunapapambazuka kwa kasi, nani alijua kutakuwa na expansion joints pale kwenye mlango wa gari?
 
The only thing necessary for the evil to triumph is for the good men to do nothing
 
.
tapatalk_1559799594425.jpeg
 
Katiba Katiba Katiba

Back
Top Bottom