Kutapambazuka!

Kutapambazuka!

Hivi kwanini MTU analazimisha kuonekana anapendwa na analazimisha kuwatawala watu wasiomtaka?

Nimeipenda hio ya "hakuna kinachoitwa Bahati mbaya"umeeleweka mkuu,mwenye masikio na asikie.

Usiku ukikomaa ujue karibu kupambazuka

Bora papambuzuke tu.....maana hili gheto kwa sasa limejaa kunguni viroboto na pia linavuja.......
IMG_20171201_210915_968.jpg
 
Hata kama sio kizazi chetu lazima kutapambazuka tu mkuu! Ahsante sana kwa bandiko zuri la matumaini. Salute!
 
Your thinking makes it so. Nchi za kiafrika zina laana, haiwezekani shida iwe Africa (mostly) tu.
Ubinafsi + Ubabe + ukabila nk. ndio mitaji ya viongozi wengi wa Kiafrika.
 

Attachments

  • MUGABE-FALLING DOWN.jpg
    MUGABE-FALLING DOWN.jpg
    54.8 KB · Views: 23
Ndo kunaanza kupambazuka si unaona miundombinu inavyozidi kutengenezwa kukaribisha uchumi wa kati
 
mie naona jamaa yupo bize kupambana na teknolojia alipaswa tu kutambua kwa sasa dunia bila teknolojia kazi bureeeeeeeeeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom