kwanini tusiseme waafrika kuwa hatuwezi maswala ya uongozi! au system imetushinda..?
nchi ngapi zimeweka upinzani lkn kama sie kama wao!.
kama hatuna viongozi wenye dira,tujue tu tumetumbukia!.
sio ccm tu hata huko tumejionea siasa za maji taka! unafikiri mtoto mdogo kama mimi nitakuwa sina mashaka kwa mkono huu wa mzazi mtapatapa..?
moja kati yaliyotupunguka ktk kuteuwa viongozi ni saikolojia!! hili linazidi hata elimu!.
kuwa na ccm au chadema au cuf ktk uongozi si tatizo!,tatizo ni kuwa na viongozi sahihi wenye dhamira ya dhati ktk kuipeleka nchi pazuri,tatizo si kutawala kwa mpito au milele bali kiongozi mwenye dira kwenye nchi yenye dira.
moja lakutafakari pili lakupigia mstari!,je ni kweli tunaviongozi wanaostahili..?