Kutana na Selebu Mboni

Nenda Savannah pale siku ya Alhamis utawaona tu! Kunywa beer za kigeni na penda kuongea kiinglish ...watakuja tu unajichagulia

hahaa sasa ndo umeongea kiinglish ambacho nimekuelewa.........

@Ndibalema money matters
 
duu, kazi mnayo.

Nyamayao! Hii ni kweli, ukionekana unafakamia safari na muda mwingi unaongea kikwere/kisukuma unaonekana wakuja mjini.....usiache kuweka fungio za gari mezani hata kama huna gari.....
 
yaani nimecheka mpaka bac, masanilo umenivunja mbavu walaah, kumbe mnapataga shida hivyo?
 
Nyamayao! Hii ni kweli, ukionekana unafakamia safari na muda mwingi unaongea kikwere/kisukuma unaonekana wakuja mjini.....usiache kuweka fungio za gari mezani hata kama huna gari.....

Usisahau na li-blackberry hata kama la kichina.
 
ila hawa dada zetu naona kama umagharibii wao wameulewaa sanaa..huyoo mbonii ana biashara gani mpaka anasifiwaa kuwaa na mpungaa sanaa???

nilimshuhudiaa jmosii na jezi yake hiyoo ya inter, jina la etoo..
 
Kuna mwenzie pia wanamuita khad... Wo wo wo,yeye alijiita khadija wa d,banj,baada ya jamaa kuja kupafom hapo bongo nafikiri alimparamia huyo mama maana alimwaga adivertise kuubwa kama jamaa(d,banj)kafika bei.kumbe jamaa alionja tu,wiki ya pili jamaa aliporudi kwao 9ja katangaza uchumba kwa demu mwingine kabisa mpopo mwenzie,huyu dada yetu hapa kabaki kutoa mimacho kama mjusi.
 
Duh yaelekea maselebu wa Bongo wamejaa kwenye hii sredi; There are currently 23 users browsing this thread. (11 members and 12 guests)
 
Usisahau na li-blackberry hata kama la kichina.

Tehe tehe tehe! Unaweza na kuongezea na uraia wa kigeni, yaani hata kama ukisema wewe ni raia wa Zambia, Malawi au Botswana, basi chati yako inakuwa juu ukilinganishwa na Mtanzania!

At the end of the day, wao wanapata wanachokitaka, pesa na matanuzi, na wewe unapata unachokitaka, NGONO ZEMBE! No commitments, no missed calls, no strings attached and life goes on!
 
Kuna mwenzie pia wanamuita khad... Wo wo wo,yeye alijiita khadija wa d,banj,baada ya jamaa kuja kupafom hapo bongo nafikiri alimparamia huyo mama maana alimwaga adivertise kuubwa kama jamaa(d,banj)kafika bei.kumbe jamaa alionja tu,wiki ya pili jamaa aliporudi kwao 9ja katangaza uchumba kwa demu mwingine kabisa mpopo mwenzie,huyu dada yetu hapa kabaki kutoa mimacho kama mjusi.

babukijana,

Kwani alikwambia kwamba anataka kuolewa na huyo Dbanj? Yeye alitaka kurekodi tu kwamba kashawahi kulambwa na Dbanj basi. Ni sawa na wewe leo hii akija Mariah Carey hapa Bongo ukapata zali la mentali ''a one night stand'' ndio utang'ang'ania kutangaza ndoa?
 
Mambo ya ma-opportunists
 
Wadau muangalia lakini maana hvi visimu vyetu vya Nokia,Sumsung etc kuwekewa kamera imekuwa soo watu wanapiga picha tu. Usije kuta dada Wa watu wala hakuwa anajua kitu!
 
Tehe tehe tehe! Unaweza na kuongezea na uraia wa kigeni, yaani hata kama ukisema wewe ni raia wa Zambia, Malawi au Botswana, basi chati yako inakuwa juu ukilinganishwa na Mtanzania!

At the end of the day, wao wanapata wanachokitaka, pesa na matanuzi, na wewe unapata unachokitaka, NGONO ZEMBE! No commitments, no missed calls, no strings attached and life goes on!

na una uraia wa marekani, bac unatoa watsup kibao...haaa ngoja nimalizie kucheka.
 
Mboni namsifu amejitahidi kuwekeza na kufungua duka lake ambalo watu wengi waliowahi kupita hapo na kufanya shopping wamesifia ubora wa vitu vinavyopatikana.Haya mengine yanayosemwa mjini kuwa Mboni akimtaka mwanaume yeyote hamkosi ndo maana akina Fally na Etoo hawakubanduka inawezekana ni maneno tu ya kumchafua
 
Back
Top Bottom