Kutana na Selebu Mboni

Hivi hawa mademu kuna mtu anakuwa anawauza ama vipi? Nimekuwa nikiona ma supastaa wengi toka nje wakija bongo wanakuwa wanajiachia na mademu hawa hawa tu.

Is it that they know how to position themselves strategically or kuna wajanja mjini wanaowaleta hawa wasanii ( e.g. kina Joseph Kusaga) wanawauza hawa mabinti???

Mtu ambaye sikumwona kajiachia na mademu wa kibongo ni 50 Cent tu!!

Hebu tuambiane wakuu, ili kama hii biashara inalipa na mimi ni invest kwenye hii kitu!!
 
Ha ha mkuu umenifurahisha sana hapa?
Yaani Ma CD wetu nao wamegeuka celebs? For sure hao macelebs wa nje wakitaka kuja huku wanatafuta wale mabinti ambao wanajiona wamekucha na ni lazima kunakuwa na makuwadi wao hapa!! Ni kama tu ilivyokuwa jeshini zamani au kama kiongozi mkubwa anatembelea mahali alikuwa anaandaliwa binti mzuri (sijui kama hii ipo tena)!!! Wakuu wengi wa shule za wasichana wanafahamu sana hili!!! Matron wa vyuo na jeshini wanafahamu sana hili!!! Ila kwa hapa innocent girls walikuwa wanakuwa victims!!! Kwa hawa wa bongo kwanza wenyewe wanajitangaza (wengi wao) kule adult finder sites!!! Kweli suala la Bongo celebs kwangu linanipa sana utata kwa jinsi ambavyo huwa tunawa define? Hata siku moja kumuita CD celeb badala ya commercial sex worker napata shida kidogo.

Awali ya yote binti ambaye ni well behave hawezi kujiweka katika hali ya kuja kubamizwa na mwanaume ambaye hamfahamu, ukizingatia celebs wengi wana wanawake kama njugu (let say Tiger woods vile). Hatari sana hii.
 
Jamani hebu naombeni namba ya simu ya huyo binti na mimi nijifaidie. Mh! ila sina umaarufu wowote sijui kama atanikubali ila pesa nnazo.
 
Jamani hebu naombeni namba ya simu ya huyo binti na mimi nijifaidie. Mh! ila sina umaarufu wowote sijui kama atanikubali ila pesa nnazo.

Nenda Savannah pale siku ya Alhamis utawaona tu! Kunywa beer za kigeni na penda kuongea kiinglish ...watakuja tu unajichagulia
 
Back
Top Bottom