KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 26,215 56,855 Sep 16, 2020 #5 Wanaofanya hivyo huwa wanatafsiri gani..??
M mama kubwa JF-Expert Member Nov 3, 2010 5,413 8,398 Sep 16, 2020 #6 Umenikumbusha Marula tree yale matunda ya kutengeneza amarula.
mjenziwakale JF-Expert Member Sep 24, 2015 677 826 Sep 17, 2020 #7 Maeneo ya magarini....tarafa ya Kimwani hapo
Kwamacho Member Apr 11, 2020 75 109 Sep 17, 2020 #8 exalioth said: .View attachment 1570487 Click to expand... Hamna mti wenye kutoa matunda ya serengeti mkuu
exalioth said: .View attachment 1570487 Click to expand... Hamna mti wenye kutoa matunda ya serengeti mkuu
exalioth JF-Expert Member Jun 22, 2016 2,190 3,685 Sep 22, 2020 Thread starter #10 Bushmamy said: Hayo matunda yanaliwa? Click to expand... Yanaliwa yakiwiva
exalioth JF-Expert Member Jun 22, 2016 2,190 3,685 Sep 22, 2020 Thread starter #11 Unapajua Noelia said: Muganza au magarini hapo Click to expand...
exalioth JF-Expert Member Jun 22, 2016 2,190 3,685 Sep 22, 2020 Thread starter #12 KENZY said: Wanaofanya hivyo huwa wanatafsiri gani..?? Click to expand... Hata mimi nilishidwa kuelewa hawa wahaya
KENZY said: Wanaofanya hivyo huwa wanatafsiri gani..?? Click to expand... Hata mimi nilishidwa kuelewa hawa wahaya
exalioth JF-Expert Member Jun 22, 2016 2,190 3,685 Sep 22, 2020 Thread starter #13 mama kubwa said: Umenikumbusha Marula tree yale matunda ya kutengeneza amarula. Click to expand...
exalioth JF-Expert Member Jun 22, 2016 2,190 3,685 Sep 22, 2020 Thread starter #14 mjenziwakale said: Maeneo ya magarini....tarafa ya Kimwani hapo Click to expand... Kweli
exalioth JF-Expert Member Jun 22, 2016 2,190 3,685 Sep 22, 2020 Thread starter #15 Chriss Comfort said: Hamna mti wenye kutoa matunda ya serengeti mkuu Click to expand... Kwahiyo nani aliekoswa kazi akapada nakuanza kuweka hayo majitu?
Chriss Comfort said: Hamna mti wenye kutoa matunda ya serengeti mkuu Click to expand... Kwahiyo nani aliekoswa kazi akapada nakuanza kuweka hayo majitu?
Coolant JF-Expert Member Apr 19, 2015 1,167 1,912 Sep 22, 2020 #16 Nasikia kuna jamaa mmoja ana ugonjwa wa akili ndie anaefunga hizo chupa kwenye huo mti
exalioth JF-Expert Member Jun 22, 2016 2,190 3,685 Sep 22, 2020 Thread starter #17 Coolant said: Nasikia kuna jamaa mmoja ana ugonjwa wa akili ndie anaefunga hizo chupa kwenye huo mti Click to expand... Si wangeukata huo mti maana siku1 ataanguka utasababisha maafa
Coolant said: Nasikia kuna jamaa mmoja ana ugonjwa wa akili ndie anaefunga hizo chupa kwenye huo mti Click to expand... Si wangeukata huo mti maana siku1 ataanguka utasababisha maafa
Coolant JF-Expert Member Apr 19, 2015 1,167 1,912 Sep 22, 2020 #18 exalioth said: Si wangeukata huo mti maana siku1 ataanguka utasababisha maafa Click to expand... Hapo tayari kuna imani za kiswahili juu ya huo mti sidhani kama kuna mwananchi anaewaza hata kuugusa.
exalioth said: Si wangeukata huo mti maana siku1 ataanguka utasababisha maafa Click to expand... Hapo tayari kuna imani za kiswahili juu ya huo mti sidhani kama kuna mwananchi anaewaza hata kuugusa.
Kapeace JF-Expert Member May 26, 2017 20,303 50,176 Sep 22, 2020 #19 exalioth said: Unapajua Click to expand... Ndio napafahamu inasemekana kuna kichaa mmoja ndiye alikuwa akiyafunga hayo makopo
exalioth said: Unapajua Click to expand... Ndio napafahamu inasemekana kuna kichaa mmoja ndiye alikuwa akiyafunga hayo makopo
mwekwa ntandu JF-Expert Member Aug 24, 2019 944 2,191 Sep 23, 2020 #20 Hili eneo nalikumbuka,kuelekea bukoba nikiwa natoka mwanza sijui ni kijiji gani ila nalikumbuka 2016