Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Anaitwa Ice Boy anafanya muziki wa Rap, amekuwa akifananishwa na tupac mara kwa mara lakini amelelamika kutopata deals kutokana na muonekano wake huo lakini ana ndoto za kwenda ulaya kumuigiza siku moja