Kutana na msanii wa Tanzania anayefanana na tupac mwenye ndoto za kwenda marekani kumuigiza

Ni jambo la khatari sana ndugu kukuta katika jamii yetu hii kuna mtu ana fikra hasi kama hizi.Tena anatung'ang'aniza kwa mifano yake hai kuwa angekuwa unyamwezini wanathamini sana kufanana na mtu sasa sio janga hili ndugu yangu?
Hili janga na maafa pia,ndo mana namuombea Donald Trump azibe mianya ya panya kukimbilia Marekani.
 
Naona kama watu wamepanic zaidi humu kwa jamaa kusema anafanana na TuPac!

Mbona jamaa kawa wazi tu kwamba haimsaidii chochote!
 
Anafanya muziki wa Rap, amekuwa akifananishwa na tupac mara kwa mara lakini amelelamika kutopata deals kutokana na muonekano wake huo lakini ana ndoto za kwenda ulaya kumuigiza siku moja

Akae vijiweni alafu watu ndio wamtafutie deals amka mtoto wa kiume
 
Kufanana sio ishu siku hizi mana kama mtengeneza movie anataka mtu aliyefanana na mlengwa wa movie yake kabisa labda 2pac au micheal jackson wanamfanyia tu plastic surgery.

Wapenzi wa movie hawapendi mtu aliyefanana na fulani kabisa,.Wapenzi wa Will Smith wanapenda wamuone akifaa uhalisia wa Muhamed Alli anakuwaje..wapenzi wa Benzil Washinton wanataka kuona akiuvaa uhalisia wa Martin Luther anakuwaje.

Kwa upande mwingine kama anaona kufanana na 2pac ni dili basi atengeneze clips zake azipeleke kwa makampuni ya kutengeneza filamu huko marekani sio mpaka aenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom