Kutana na mama mtata.

Kutana na mama mtata.

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
4f20c94dce3b538e51d5511d1095e9b6.jpg
 

Laiti ungejua wanawake huwa wanawaza nini akilini mwao ungebadili kichwa cha habari cha hii thread yako.

Nimewaza tuu kuwa;
1. Yaweza kuwa huyu mama anaishi nyumba ya kupanga na ananyanyaswa hivo alijibana kununua kaeneo na hapo hela ya ujenzi hana akilini mwake amejipa uwezo wa kujenga nyumba japo matofali yamepinda ila anataka walale huru yeye na wanae.
2. Yawezekana mumewe ni mlevi au amefariki hivo hana msaada wa mahali pa kuishi hivo anapambana kujenga kwake ili alale na wanae hata kama hatakuwa na chakula.
3. Yawezekana hicho ni kibarua hali ngumu anafanya hivyohivyo kwa shida watoto wake waende shule na wapate chakula.
4. Ukiona mwanamke anahangaika kufanya kazi ngumu ujue nyuma yake kuna wazazi wanaomtegemea au watoto wasio na malezi ya baba au ana wadogo zake wanaomtegemea.

Hata hivyo mpiga picha kama sio wewe ndo anajua nini kinaendelea kwa huyu mama, laah kama ni wewe ndo Umempiga picha na ameamua tuu kufanya hiyo kazi bila sababu yeyote au kuwa na shida yeyote basi itakuwa anaigiza muvi au kidogo hayupo sawa.

Usiku mwema.
 
Kasinde all in all, huyo mama sio wa kubeza, awe anafanya kibarua au anajenga nyumba yake. Ni maamuzi magumu na kunakitu kimemsukuma kufanya hivyo. Bora umeleta mtazamo mpya kuliko wengine walivyotaka kumchukulia.
 
Amejituma kweli. Lakini Joints za kwenye baadhi ya rows za tofali zipo connected pamoja inapunguza uuimara wa ukuta.
 
Halafu Mtoto wa Kiume unajibweteka, unalalamika Maisha magumu
 
Laiti ungejua wanawake huwa wanawaza nini akilini mwao ungebadili kichwa cha habari cha hii thread yako.

Nimewaza tuu kuwa;
1. Yaweza kuwa huyu mama anaishi nyumba ya kupanga na ananyanyaswa hivo alijibana kununua kaeneo na hapo hela ya ujenzi hana akilini mwake amejipa uwezo wa kujenga nyumba japo matofali yamepinda ila anataka walale huru yeye na wanae.
2. Yawezekana mumewe ni mlevi au amefariki hivo hana msaada wa mahali pa kuishi hivo anapambana kujenga kwake ili alale na wanae hata kama hatakuwa na chakula.
3. Yawezekana hicho ni kibarua hali ngumu anafanya hivyohivyo kwa shida watoto wake waende shule na wapate chakula.
4. Ukiona mwanamke anahangaika kufanya kazi ngumu ujue nyuma yake kuna wazazi wanaomtegemea au watoto wasio na malezi ya baba au ana wadogo zake wanaomtegemea.

Hata hivyo mpiga picha kama sio wewe ndo anajua nini kinaendelea kwa huyu mama, laah kama ni wewe ndo Umempiga picha na ameamua tuu kufanya hiyo kazi bila sababu yeyote au kuwa na shida yeyote basi itakuwa anaigiza muvi au kidogo hayupo sawa.

Usiku mwema.
You nailed it.
 
Baadae nyumba ikianguka atasema amerogwa?
Mama zetu wanajifanya watata kweli zama hizi wanataka watoke pasu kwa pasu na mwanaume.
 
Back
Top Bottom