BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,922
Mkuunimekupata sasa vipi bado unahitaji
Ni bei gani mkuu bado naitaji,..
Mkuunimekupata sasa vipi bado unahitaji
Ziko kuanzia laki 4 hadi laki 6 kutokana na ubora na eneo nyumba ilipoNi bei gani mkuu bado naitaji,..
Ziko kuanzia laki 4 hadi laki 6 kutokana na ubora na eneo nyumba ilipo
Sijajua wewe unahitaji ya kiasi gani
Kulikoni chiefHahaha
Kinachotakiwa ni kufungua kampuni iliyo halali ili kuendana na mahitaji ya sokoSheria ipi inasema udalali ni Biahara haramu
Mitumie picha Na sifa za nyumba ,ukubwa wa eneo, Mahali nyumba ilipo na umbali toka barabara ya lami kwa Namba Hii +255718295182nauza nyumba yangu
Ushauri mzuri chief niko katika hatua hizo asante sanaKinachotakiwa ni kufungua kampuni iliyo halali ili kuendana na mahitaji ya soko
Nilikuwa nahitaji kiwanja maeneo ya Kimara au Tabata
Kiwanja cha ukubwa gani na maeneo gani ya tabata unayohitajiKinachotakiwa ni kufungua kampuni iliyo halali ili kuendana na mahitaji ya soko
Ushauri mzuri niko katika hatua hizo chiefKinachotakiwa ni kufungua kampuni iliyo halali ili kuendana na mahitaji ya soko
Safi sanaUshauri mzuri chief niko katika hatua hizo asante sana
Nilikuwa nahitaji maeneo ya Tabata Kimanga /kisukuru.Kiwanja cha ukubwa gan
Kiwanja cha ukubwa gani na maeneo gani ya tabata unayohitaji
Tuwasiliane kwa namba hiyo 0718295182 uje ukione kawanjaNilikuwa nahitaji maeneo ya Tabata Kimanga /kisukuru.
Kiwanja nilichokuwa nahitaji ni kile kinacho weza kutoa vyumba Nane na choo kwa nje. Ila sijajua Ukubwa Wa vipimo.
Maswali uliyomuuliza hajakujibu, hapohapo umeishamuita jamaa mwizi. Na akikuambia hivyo vibali vyote anavyo utamuomba radhi kwa jina baya ambalo umembandika tayari.Huo sio uungwana.Una kibali cha udalali? Una nyaraka za mlipa kodi? Nyie ndio mnaoibia sekta ya nyumba nchini. Kwa vile umeweka na mawasiliano yako basi tarajia ugeni halali ndani ya siku 10. Tumedhamiria kukomesha biashara haramu kwenye ardhi na nyumba nchini.
Hahhahha hilo halikwepeki kamandaTatizo kodi ya mwezi mmoja.