Mr dark light
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 298
- 253
Kim baUna kibali cha udalali? Una nyaraka za mlipa kodi? Nyie ndio mnaoibia sekta ya nyumba nchini. Kwa vile umeweka na mawasiliano yako basi tarajia ugeni halali ndani ya siku 10. Tumedhamiria kukomesha biashara haramu kwenye ardhi na nyumba nchini.
Nahitaji nyumba Kimara budget yangu 100 ila iwe self
Kweli?Chumba kimoja self unapata ndugu
Sawa nduguNitakutafuta.
Babu nna nyumba yangu MAPINGA shule ,NAUZA mil,55Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii...
Kwa Mahitaji Ya Vyumba ,Nyumba,
Viwanja,Mashamba,Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach,magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani Ya Mkoa Wa Dar es salaam
Pia Kwa Mwenye Nyumba,Plot,Kiwanja, Mashamba, Beach,Magari Nk
Napokea Matangazo Na Kutangaza Bure
Asante
___
CALL
0718295182 *WATSAP*
0765505909
Unataka nyumba ya sifa zipi nduguNahitaj nyumba ya kupanga maeneo ya mwenge survey mpakani au lufungira.. nyumba iwe na fence.. hata chumba kikipatikana poa tu
Call/watsapBabu nna nyumba yangu MAPINGA shule ,NAUZA mil,55
CALLBabu nna nyumba yangu MAPINGA shule ,NAUZA mil,55