JMWAKA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 739
- 654
UmepataNatafuta chumba Mwenge au mikocheni chumba kimoja
UmepataNatafuta chumba Mwenge au mikocheni chumba kimoja
Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii...
Kwa Mahitaji Ya Vyumba ,Nyumba,
Viwanja,Mashamba,Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach,magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani Ya Mkoa Wa Dar es salaam
Pia Kwa Mwenye Nyumba,Plot,Kiwanja, Mashamba, Beach,Magari Nk
Napokea Matangazo Na Kutangaza Bure
Asante
___
CALL
0718295182 *WATSAP*
0765505909
Kwa update ya haraka BOFYA HAPA KUJIUNGA WATSAP GROUP
_________________________
BANGO
Asante kwa maoni chiefNyie wababaishaji humu maneno mengi tukiingia field mnaanza kujenga mazingira ya kugonga service charge tu
Hizi kazi muwe mnafanya kma profession sio kutafuta faida tu kwa staili hii ndio maana wote mnaonekana matapeli tu
Embiciles
ukipata nitag na mimoNatafuta nyumba maeneo ya maduka mawili chang'ombe au maeneo ya temeke hospitali.maji yawepo budget yangu ni 150 kwa vumba 3
Chumba self contained Fence&packing Kinondoni hananasifuMkuu hakuna chumba maeneo ya Kinondoni?
Chumba kimoja maeneo hayo kipondo?Nina chumba laki1 mwenge na ingine master maeneo ya Kijitonyama karibu na Mabatini polisi nacho laki1 mawasiliano
0658183618
Lipo?Shamba linauzwa linafaa kwa ufugaji na kilimo au kiwanda kidogo
LOCATION BOKO TIMIZA UKIVUKA RELI Km 2 toka Morogoro road
Kuna huduma zote za kijamii ikiwemo maji na umeme (Rea)
ukubwa jumla EKARI 4
BEI MIL 1 na Laki 5 TZS (1500,000 TZS) Kwa kila ekari 1
DOCUMENTS mkataba wa mauziano toka serikali ya mtaa
CALL
0718295182
0765505909![]()
Kuna moja kali inataka laki 1.7Natafuta chumba master na sebule maeneo ya kibo adi korogwe kimara
Iko wapi hiiKuna moja kali inataka laki 1.7
Ipo master na sebule yake mwenge kodi 220Chumba kimoja maeneo hayo kipondo?
Nataka single mkuuIpo master na sebule yake mwenge kodi 220
Ipo elf65