Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,444
- 29,850
Mdau amesema wewe ni mbabaishaji...Chief kuna tatizo gani kwani?
Nisaidie kumuuliza kuna tatizo gani, inawezekana ana matatizo yake binafsiMdau amesema wewe ni mbabaishaji...
Maelezo mazuri chiefBanana Kitunda,Matembele ya kwanza kabla ya kuvuka Reli. 2.3kms toka Banana. 4.8kms from airport. 14.2kms toka City Centre.
Master Bedroom/Chumba cha Mgeni/Spacious Living Room/Public toilet/Kitchen/Separate Luku/Maji ya ku-share bili/Fenced/Ample parking/0.6km toka Lami/very close to Ukonga Magereza Garden and recreation/Kodi kwa mwezi Laki 3 X Miezi6. Ni sehemu tulivu na Mandhari yenye kuvutia.
Kuona Elfu 10. Ya udalali ya Mwezi Mmoja kama Desturi.
_*0657477285_*
_*Kindly, repost this in other groups._*
![]()
![]()
![]()
![]()
Vipo chief kuanzia Mil 5 hadi Mil 20 kulingana na mazingira na sifa za kiwanja25*20 au 25*30
Mkuu
Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii...
Kwa Mahitaji Ya Vyumba ,Nyumba,
Viwanja,Mashamba,Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach,magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani Ya Mkoa Wa Dar es salaam
call/sms/wtsp:
+255718295182/+255753254562/
Pia Kwa Mwenye Nyumba,Plot,Kiwanja, Mashamba, Beach,Magari Nk
Napokea Matangazo Na Kutangaza Bure
Asante
_________________________
Bango![]()
3 bedrooms house for saleHabari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii...
Kwa Mahitaji Ya Vyumba ,Nyumba,
Viwanja,Mashamba,Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach,magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani Ya Mkoa Wa Dar es salaam
call/sms/wtsp:
+255718295182/+255753254562/
Pia Kwa Mwenye Nyumba,Plot,Kiwanja, Mashamba, Beach,Magari Nk
Napokea Matangazo Na Kutangaza Bure
Asante
_________________________
Bango![]()

Mzee ww ndio mmiliki3 bedrooms house for sale
Boko beach 1000 sq .m
350 m/=
Sms/whatsap 0787641107
View attachment 683952 View attachment 683954 View attachment 683955
Chumba + sebule + jiko,
bajeti 100k eneo lililo na usafiri wa kueleweka, hakuna bugudha ya kuamshana usiku kulinda. Nawasilisha
Kwa vigezo hivyo sina nyumba ya bei hiyoChumba + sebule + jiko,
bajeti 100k eneo lililo na usafiri wa kueleweka, hakuna bugudha ya kuamshana usiku kulinda. Nawasilisha