JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,201
Kwa milioni 3 ntapata kiwanja Dar?
Unahitaji maeneo gani chiefHiyo 180k pia co mbaya nikipata
[emoji28] za LUGUMI nilishagoma kuziuza mda mrefu niliona ziko kisiasamadalali ninyi mkauze nyumba za lugumi
WapiNatafuta nyumba vyumba viwili kimoja kiwe self, sebule jiko ,kigae kizuri na gypsum,vioo madirishani.Maji na umeme viwe vya uhakika ikiwa ndani ya fensi itapendeza
Bei isizidi 250000