BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,088
- 2,174
- Thread starter
- #441
Vipo kuanzia laki 2.5 hadi laki 7 kutegemea na ubora wa nyumba na mazingiraNahitaji nyumba nzuri tegeta iwe vyumba viwili au vitatu si mbaya isiwe ukanda wa mafuriko self contained jiko choo gypsum kodi isizidi laki tatu inapatikana