BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,060
- 2,111
- Thread starter
- #361
Hii nchi ina vituko, kicha cha habari "Kutana na dalali wa magari" mtu anauliza chumba
Hii nchi ina vituko, kicha cha habari "Kutana na dalali wa magari" mtu anauliza chumba
Bango NyeupeNISSAN HARDBODY NAMBA D
BEI MIL 18 TZS
MAONGEZI YAPO
CALL
0718295182 WATSAP
0765505909 View attachment 769954View attachment 769955View attachment 769957
Mudhole ndo nini chiefBango Nyeupe
Hii gari inakaa ni kama ilikuwa kwa mudhole...isafishe ndiposa uuze mazee..loh
Mil 12 unapata nzuri zaidiNahitaji Toyota town ace pickup 4wheel driver ambayo iko vizuri nishingapi mkuu
Naomba contact mkuu ili nikutafuteMil 12 unapata nzuri zaidi
KAMA UNA GARI UNAUZA AU UNAHITAJI KUNUNUA GARI LOLOTE TANZANIA CALL 0718295182 WATSAPNaomba contact mkuu ili nikutafute
Mkuu iyo Gari bado IPO? Niunganishe na Mmiliki. Ofa yangu 2.5 ila nitalipa kwa awamu 2. Kadi anabaki nazo hadi nitakapo maliza.NISSAN MARCH MIL 3
Gari ilishauzwa chiefMkuu iyo Gari bado IPO? Niunganishe na Mmiliki. Ofa yangu 2.5 ila nitalipa kwa awamu 2. Kadi anabaki nazo hadi nitakapo maliza.