Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,060
2,111
Habari zenu wakuu,

Kwa uhitaji wa kununua gari used Tanzania, yaani gari za mikononi,

Wasiliana nami,

Leta oda yako kama sina nitakutafutia, kikubwa uwe na utayari na hela iwepo,

Ndani ya siku 1 unapata gari ulitakalo tayari kulikagua,

Pia kama unauza gari lolote nitakutafutia mnunuzi

KWA MUUZAJI: Lengo langu ni kuitangaza na kufanya mali yako ipate mteja kwa haraka
Kumbuka wanaouza magari ni wengi na kila mmoja ana Bei yake, Hivyo nipe bei itakayovutia wateja na kufanya gari yako iuzike kwa wakati

Ili kuharakisha biashara Sifanyi udalali wa kuongeza cha juu, Siongezi hata senti katika Bei utakayonipa, nikileta mteja ww ndie wa kuelewana nae ila naomba tu uwe muaminifu kwa kile kidogo nami unikumbuke

Mimi utanipa kidogo pale gari litakapouzika (angalau nami nipate kulisha familia ndugu)

HAKIKISHA UKITUMA GARI, TUMA SIFA (SPECIFICATION) ZA GARI, NA KAMA KUNA SHIDA AU TATIZO LOLOTE LA KIUFUNDI KUWA MUWAZI ILI KUEPUSHA USUMBUFU

Asante karibu sana

MAWASILIANO
Call/Sms
+255718295182
+255765505909
Instagram@bango_magari
Watsap:+255718295182
 
Killtime rav4
Bei 11M Fixed (haipungui)
Vvt engine
2002
Call /0753254562 /0718295182
a83c2dab384e88d926b86d18f3dbe04a.jpg
b0fc75003a400e4578bd19e45049a85c.jpg
 
Back
Top Bottom