Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

Wakuu nina eneo langu lipo mbez msumi jirani na shule ya secondary mbopo 20*23 metres naliuza kwa bei chee. ..nichek pm tuyajenge
 
Kwanza nashukuru sana Kwa kutupatia wapangaji kwenye apartments zetu pale kigamboni sasa vp khsu ile nyumba yetu ya kivule inahitaji mpangaji

Ova
Mzee Mrangi naomba hiyo nyumba nianze kufanyia kazi mkuu ntakustua
Kwanza nashukuru sana Kwa kutupatia wapangaji kwenye apartments zetu pale kigamboni sasa vp khsu ile nyumba yetu ya kivule inahitaji mpangaji

Ova
 
Nahitaji chumba mbezi beach kiwe single chakupanga, kama poa nijibu bei na ikiwezekana picha ya mazingira yake na changamoto zake.
 
KWA MAHITAJI YA VIWANJA VYA MAKAZI NA BIASHARA [HASHTAG]#0718295182[/HASHTAG] [HASHTAG]#0753254562[/HASHTAG]
 
Nina nyumba ya vyumba vi3 vya kulala sebule na jiko maeneo ya mwenge mlalakua imetulia sana bei 350,000/=
 
Back
Top Bottom