Mi sijawaelewa mnaomsakama Miss Judy kwa kutueleza babu mwingine wa Eritrea.
Kosa lake ni nini?
Mbona Tarakea ameibuka babu mwingine na yeye naye ameoteshwa kama alivyo wa Loliondo.
Hamwamini kama babu wa Loiondo ni marudio tuu?(awe ametumwa na Mungu au hajatumwa)
Sio, hata watu wa asia na ulaya wanaletewa ufunuo.
Kwa mfano, zazibaar barani asia, kuna mtu mliletewa ufunuo kwamba piga ua, lazima awe makamu wa raisi, hata kama kwa ndoa ya mkeka.
mkuu, sio afrika pekee, binafsi nimesikia habari za watu kama hao pia barani asia na marekani kusini na nimesikia siku nyingi, so hapa kwetu ni marudio tu, sio habari mpya duniani, ila wanatofautiana kulingana na mazingira yao.......
umati wa watu ulijazana huko na hali ilifikia crisis ya kuilazimu serikali kuingilia kati, just like it is now at samunge,
so watch out brother, hizi ni siku za mwisho!
Nimejaribu search injini kadhaa bila mafanikio ya kupata chochote kinachomhusu Armalakha hivyo nimenyimwa fursa ya kupanua tafakari yangu.
Ukifanya malinganisho yakinifu utagundua kwamba story ya Eritrea ama Nicaragua haina ulinganisho wowote ya uhalisia uliopo Loliondo.
Wakristo hasa wale "first class" ni wepesi sana wa ku-draw conclusions. Hii nchi kama watu tunaojiita wakrito tungeishi maisha ya Kristo uovu, uasi, ufisadi usingekuwepo na tungekuwa level za wenzetu kimaendeleo. Tuache unafiki wa kudhani tumesimama na kuona every other thing around ni ushetani.
Kwenye siasa CCM wanalalamika Chadema udini, ukabila na sasa wachochezi/wahaini.
Kwenye dini wakristo wanalalamika babu hataji jina la Yesu, anatoza sh 500, hawahubiri watu injili na sasa anafanana nawa Eritrea. Obsession tuuuuuuuuuu!
Ngoja nitatafakari!
Mi sijawaelewa mnaomsakama Miss Judy kwa kutueleza babu mwingine wa Eritrea.
Kosa lake ni nini?
Mbona Tarakea ameibuka babu mwingine na yeye naye ameoteshwa kama alivyo wa Loliondo.
Hamwamini kama babu wa Loiondo ni marudio tuu?(awe ametumwa na Mungu au hajatumwa)
Hatuhitaji masimulizi yako binafsi uliyoyabatiza jina la masimulizi ya rafiki yako wa eritrea.
Lakini lililo kubwa hapa ni kwamba habari kama hiyo lazima ingeripotiwa na vyombo vya habari, nadhani we mwenyewe unaelewa ni kwa kiasi gani babu wa loliondo amepata promo ya vyombo vya hyabari, si vya ndani tu bali hata vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC, VOA, DEUSTCHWELLE, RFI na vingine.
Ingekuwa jambo la msigi sana kama ungetusaidia link ya kuonyesha hiyo habari ya miujiza ya babu wa eritrea na si masimulizi yako binafsi na rafiki yako. Haiwezekani babu wa eritrea afanye maajabu hayo yote halafu habari zake zisifike kwenye vyombo vya habari, au unataka kutuambia eritrea na ethiopia hakuna vyombo vya habari??
Tafakari Judith!!
Ndibalema tatizo ni:
Wrong motive. If the motive was correct we all know what ought to be done.
Go pray, seek God's guidance, speak to the people in authority (in this case KKKT), cast out the evil spirit and not Bragging, no name calling, no misrepresentation.
Neno la Mungu linatu-inspire with some better insight and wisdom kukabili changamoto mbalimbali BUT not in the way and manner christians (wa humu JF na huko nje) have taken the babu issue. Kama hatujui katoka kwa Mungu au la basi tukumbuke when He said "Touch not my anointed and do my prophets no harm". 1Chr 16:22)
Hahaha umeishiwa hoja unaeta vioja!
Mi sijawaelewa mnaomsakama Miss Judy kwa kutueleza babu mwingine wa Eritrea.
Kosa lake ni nini?
Mbona Tarakea ameibuka babu mwingine na yeye naye ameoteshwa kama alivyo wa Loliondo.
Hamwamini kama babu wa Loiondo ni marudio tuu?(awe ametumwa na Mungu au hajatumwa)
MJ mamito mbona uko against sana na hii issue ya loliondo?? Thread zako zote unapinga na kutoa negative points kuhusu hii tiba..haya mambo yalikuwepo tokea enzi za ukombozi wa mwanadamu. hivyo usishangae ndio sasa unaona yale yaliyokwisha andikwa kwenye vitabu vya dini. ni vema ukakubaliana na maandiko...wengi wape..kifo cha wengi...harusi
why is Miss Judith vere vere against Babu. mimi sioni tatizo lolote la Huyu mzee.
Nikitaka kwenda kwa babu ni utashi wangu, naweza kuamua niende au nisiende
.
Najaribu kutafakari kinacho muuma Moss judith juu ya babu ni nini?
waache watu wajia mulie wenyewe jamani. Au zile mia tano tano anazopata babu zinakuuma.?
Acha wivu Judith. Linalo kufanya uhubiri negative about Babu daily ni nini?
fuatilia kesho kuanzia saa 10 jioni nitatoa majumuisho
ubarikiwe sana mpendwa
Glory to God