Hahahaha nanii nini?Kama umeweza kuogopa mume wa mtu boyfriend huta shindwa, jitahidi...ili na wako aogopewe pia, japo kuna nanii hahaha
Tumia hiii hii username yako ndo naipenda[emoji4] [emoji12] [emoji12]Daah nimefanyiwa fitina za waziwazi. Ngoja nitaongea na mods nibadilishe username
Aisee naongea kwa dhati ya moyo wangu hapa nimeonewaKweliii me nakuonea huruma hapa, kule sio pazuri ooohhooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nitajaribu kuoa wakinitamani wote tunatamaniana
Kwanini jamani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana kwako siwezi kabisaaaaaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanachonga sana juu yako mr kidevuUsiwasikilize hao hawapendi tuwe pamoja
Sababu ya kutotulia kwao unayo wewe binti[emoji23] [emoji126]Sijaolewa.... Ila ndio ruksa kabisa maana hata nikisema sitaki kushare na mtu anakoenda najua? Wanaume wa siku hizi wachache ndo wametulia na ndoa zao ila wengi wao mmhh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] GOATSababu ya kutotulia kwao unayo wewe binti[emoji23] [emoji126]
Haha naona@Rogie anaitumia kunifanyia fitina kwakoTumia hiii hii username yako ndo naipenda[emoji4] [emoji12] [emoji12]
Kuna kamsemo kananifikirishaga sana...Hahahaha nanii nini?
Hahaha wee Mzigua90 wewee...Labda una hela ila kama huna eti upendwe tuu
[emoji23] [emoji23] Sana hawapendi kuniona na wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanachonga sana juu yako mr kidevu
Kweli vile. Naanzaje kubanana na mkeo wakati hela huna. Ni wanawake wachache sana wanadate waume za watu kwa mapenzi. Sasa asione anashobokewa akajua anapendwa inapendwa pochi tu hapoHahaha wee Mzigua90 wewee...