extra 2018
New Member
- Feb 11, 2018
- 4
- 2
Ni kweliii
Safi sana nimekuelewa, uchoyo sio mzuri kabisa na naamini wewe sio mchoyo
Kunyima nyimana dhambi ujue, alaf vitu vyenyewe haviozi
Hahaha kwanini?
Hiyo ni hatari ss, kwann mzinguane?Kwasababu ukiwa nae kuna wengine wanakutaka so siku mkizinguana unahamishia makazi kwa mwingine.
Dah nimekupenda bure![]()
Kunyima nyimana dhambi ujue, alaf vitu vyenyewe haviozi
![]()

Sijaolewa.... Ila ndio ruksa kabisa maana hata nikisema sitaki kushare na mtu anakoenda najua? Wanaume wa siku hizi wachache ndo wametulia na ndoa zao ila wengi wao mmhhHeeh!
Kwahyo na ww mume wako ruksa kushea na wenzako eeh!
Mmh! Una moyo mzuri basii ila ni hatariSijaolewa.... Ila ndio ruksa kabisa maana hata nikisema sitaki kushare na mtu anakoenda najua? Wanaume wa siku hizi wachache ndo wametulia na ndoa zao ila wengi wao mmhh

Ngoja nilete posaSijaolewa.... Ila ndio ruksa kabisa maana hata nikisema sitaki kushare na mtu anakoenda najua? Wanaume wa siku hizi wachache ndo wametulia na ndoa zao ila wengi wao mmhh
Pua zako zitakuwa na matatizo chiefNahisi harufu ya ngono hum


Different personalitiesHiyo ni hatari ss, kwann mzinguane?
Mkuu usimuogopeshe Sina madharaHahaha kwahyo unakubaliana nae asiwe mchoyo eeh!!Dah nimekupenda bure![]()
![]()
![]()
Mshipa huyu hapana namuonaga onaga