Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,632
NdioooKizuri kula na nduguyo eeh?![]()
NdioooKizuri kula na nduguyo eeh?![]()
![]()
Kunyima nyimana dhambi ujue, alaf vitu vyenyewe haviozi
![]()
Aliyeimba "Vipo vya kushea lakini sio mapenzi" alikosea sana. Mapenzi ndio watu wanashea kuliko kingine chochote, we ona mastaa wa kibongo wanavyoshea papuchi na dushelele mpaka aibuNi aina ya kukaribishwa wewe si umejitangaza unagegeda na wanajua kwa hiyo wanaamini unajua ndo maana ukaoa
Ni mtonyo ukizubaa unagegeda balaa
Point mkuu.Ukioa unakuwa umeonyesha kuwa unajua kutunza nao wanataka kutunzwa
Ukweli mtupuKabla hujaoa, utahangaika sana huku na kule kupata mwanamke wa kukuliwaza ila ukioa tu utashangaa wake wa majirani zako wanaanza kukuletea mapozi, hata vidada mtaani vinakuwa vinajilengesha tu.
Au ndo tunakuwa watamu tukioa?
Huna akiliMwanaume wa mtu mtamu.... Atatunzwa na mkewe so anakua smarter than kabla kazi yenu kuinjoy tu
PumbavuKizuri kugawana bana sio kula mmoja mmoja,Mume wa mtu mtamuu,Mkiwa singo hamuwi watamu sana