Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,832
Heri yako ww, ila inabidi hata boyfriend pia uogopeHakuna kitu naogopa kama mume wa mtu ruwaaaa ntameza mate ila sitajilengesha aseee (lakini sio boyfriend)
Heri yako ww, ila inabidi hata boyfriend pia uogopeHakuna kitu naogopa kama mume wa mtu ruwaaaa ntameza mate ila sitajilengesha aseee (lakini sio boyfriend)
Haiwezekani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu usimuogopeshe Sina madhara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uchoyo sio mzuri kabisaHahaha kwahyo unakubaliana nae asiwe mchoyo eeh!!
Ntajitahidi mkuuHeri yako ww, ila inabidi hata boyfriend pia uogope
Hata usisikize maneno yakeMshipa huyu hapana namuonaga onaga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiii posa tena???Ngoja nilete posa
Jamani jakitoo usisikilize maneno ya watu wanatugombanisha ujueMshipa huyu hapana namuonaga onaga
Acha bwanaa [emoji23][emoji28][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] uchoyo sio mzuri kabisa
Simsikizi hata kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata usisikize maneno yake
Duuh naona umefanikiwa ameaanza kuogopa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haiwezekani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Maneno ya watu sumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Namsikiliza kaka rogieJamani jakitoo usisikilize maneno ya watu wanatugombanisha ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee siamini[emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiii posa tena???
Hapana ukumbuke miaka 30 ya kulee usije ukababuseya
Kama umeweza kuogopa mume wa mtu boyfriend huta shindwa, jitahidi...ili na wako aogopewe pia, japo kuna nanii hahahaNtajitahidi mkuu
Kweliii me nakuonea huruma hapa, kule sio pazuri ooohhooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee siamini
Daah nimefanyiwa fitina za waziwazi. Ngoja nitaongea na mods nibadilishe username[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Maneno ya watu sumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Namsikiliza kaka rogie
Usiwasikilize hao hawapendi tuwe pamojaSimsikizi hata kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja na mm nijipange kuwaga dyudyu hadi watulize mapepe [emoji28]Safi sana nimekuelewa, uchoyo sio mzuri kabisa na naamini wewe sio mchoyo