kah!Endeleeni kushupaza shingo.
Ukombozi huoooooo!
Hatutoi codes (mwisho wa thread).
naona umebaki peke yako ukijibishana, wenzako wako wapi siku hizi?Nyumbu mnadanganyana sana
WatajipangaUsiwasanue,muda Bado.
Sina wenzangu nikikutana na Nyumbu mnatimua vumbi mtandaoni lazima nikwambie ukweli , nyie nyumbu hamuwezi kutuaminisha mtaandamana wakati watekaji wanakuja wa 3 tu wanamchukua mtu katikati ya Nyumbu 50+ lakini Nyumbu zote 50 mnashindwa kumsaidia mwenzenu, nyie ndo mtaweza kuandamana?naona umebaki peke yako ukijibishana, wenzako wako wapi siku hizi?
Amina ja iwe hivyoEndeleeni kushupaza shingo.
Ukombozi huoooooo!
Hatutoi codes (mwisho wa thread).
BBC na DW ndio huwa naona wana maripota wao hapa Dar, hao wengine sijawahi kuona wakiripotiNimeona na vyombo vya habari vya kimataifa aljazeera,sky news,BBC news,cnn news n.k wamejipanga kwenda live
Weka mpira kwapani, imeisha hiyo.Nyumbu mnadanganyana sana
watakuzidi, ita wenzako waje wakusaidie kujibuSina wenzangu nikikutana na Nyumbu mnatimua vumbi mtandaoni lazima nikwambie ukweli , nyie nyumbu hamuwezi kutuaminisha mtaandamana wakati watekaji wanakuja wa 3 tu wanamchukua mtu katikati ya Nyumbu 50+ lakini Nyumbu zote 50 mnashindwa kumsaidia mwenzenu, nyie ndo mtaweza kuandamana?
Nyumbu we
🥺🥺🥺🥺🥺Nimeona na vyombo vya habari vya kimataifa aljazeera,sky news,BBC news,cnn news n.k wamejipanga kwenda live
Asili ya Nyumbu ni waoga, hata nikiwa peke yangu naweza kuzitoa baru Nyumbu million 6 na zote zikatimua vumbi kwahiyo nazimudu Nyumbu zote peke yanguwatakuzidi, ita wenzako waje wakusaidie kujibu