Education Mentor
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 395
- 695
Mungu huwa anasaidia Watu kutafsiri Ndoto...........
Lakini aina ya Ndoto hiyo kama ulifunga ni Mungu anasema na wewe Tengeneza na Mungu na inapojirudiarudia Ayubu 13:34 "Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali. Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani"
Kama mlikuwa mnafanya romance it simply She was not your wife. tengeneza na Mungu anzia hapo tumia Zaburi 51....Sexual Immorality (Uasherati) ni dhana pana sana nje hata ya sex yenyewe.....its clear anzia hapo kwanza pengine Mungu anasema na wewe tengeneza nae. ukishaungama Mungu ataponya majeraha hayo. She is wounded you na shida imeanzia hapo.