Kusomea masters ya international business online. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusomea masters ya international business online.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kitoabu, Mar 17, 2012.

 1. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wadau nimekuwa najiuliza jinsi ya kusoma masters bila kuwepo kwenye maeneo ya chuo inakuwaje. Kwa sabab mazingira niliyonayo mimi ni ya kujiajiri na nisingependa kupoteza muda wangu kwenye kuhudhuria darasani
  Pili ningependa kujua expense zake kama ziko juu sana ukilinganisha na ya full time more than that quality yake inakuwaje? Kipato changu kwa mwezi ukitoa matumizi yote ni usd 2000. Mostly ningependa iwe ya Uk au us
   
 2. M

  MANAKE MKARI Senior Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu ni wazo zuri. Kuna vyuo vya UK vinatoa online course ila ni expensive kiasi chake. Kwa nchi kama UK wako strict na quality yao inaheshimika. Unatakiwa ume committed kweli kweli maana hawana mzaha na elimu yao. Kuna scholarship za common wealth kwa ajili ya online masters kwa vyuo vya UK.Cheki hii web kama kuna course inayaokufaa:Commonwealth Scholarship Commission in the United Kingdom | Information for candidates.Kila la heri!!
   
 3. n

  naivasha Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wazo zuri. Speedy uko wapi. Kama alivyosema mdau hapo juu. Kuna scholarships za Commonwealth kwa online degree na vyuo husika ni vya Uingereza. Waweza kuni PM. Asante sana
   
Loading...