mansoury magram
Member
- May 18, 2017
- 99
- 60
mimi nafikiri tatizo sio hilo unalosema ww bali nikutokana naa elimu ya juu haiko sawa kwa vyuo vyote miataala inatofautiana laiti tungekuwa tunafanya pepa moja wote yaani UE kama ilivyo NECTA kusingekuwa na huu ujinga unaendelea hapa tungebaki kusifia majengo ya UDSM nasikingine mbona form four mtu ana three anaenda advance anakomaa anapata div 1 au 2 sasa kwann mtu wa DD asiheshimiwe angekua amefelei basi asingechagulliwaMkuu shida inatokea ni kuwa Vyuo vingine huchagua wanafunzi wenye ufaulu wa chini sana. Mfano DD wakati Udsm huchagua wenye ufaulu wakushangaza. Cha msingi serikali iboreshe elimu kwenye shule huku chini ili wanaopata maksi za juu wawe wengi angalau vyuo vingne vipate hata one za 3
Kuna ukweli fulani ila ni wakati sasa vyuo vyetu vianze kunzalisha product yaani bidhaa badala yakuanda watu tu.Umeongea hoja mkuu. Ila uliona wapi mtu akajisifu kwa udhaifu. Mtu hujisifu endapo anaona zipo sababu za kufanya hivyo.
Yaani ingekua hivo hivi vyuo vingine watu wangegraduate na GPA za 2 wengi sana. GPA kubwa nyingi zingekua udsm. Vyuo vingine wanamitiani mirahisi sana.mimi nafikiri tatizo sio hilo unalosema ww bali nikutokana naa elimu ya juu haiko sawa kwa vyuo vyote miataala inatofautiana laiti tungekuwa tunafanya pepa moja wote yaani UE kama ilivyo NECTA kusingekuwa na huu ujinga unaendelea hapa tungebaki kusifia majengo ya UDSM nasikingine mbona form four mtu ana three anaenda advance anakomaa anapata div 1 au 2 sasa kwann mtu wa DD asiheshimiwe angekua amefelei basi asingechagulliwa
Kuna
Kuna ukweli fulani ila ni wakati sasa vyuo vyetu vianze kunzalisha product yaani bidhaa badala yakuanda watu tu.
Ifike mahala tuanze kuona bidhaa
made in UDSM, SAUT, ATC, DIT, MUST nk zikitapakaa mtaani ili kuchochea maendeleo ya viwanda nchini visiishie kufanya tafiti tu nakuziacha hewani wakifanya hivi hata wananchi wakawaida watafaidika sana na hizi taasisi.
Aaah hawa wanatamba jina tu lkn hamna kitu, uliwafyekelea mbaliNachojua kwenye interview nilifumua udsm wote, SUA nilikuwepo peke angu.
mimi nafikiri tatizo sio hilo unalosema ww bali nikutokana naa elimu ya juu haiko sawa kwa vyuo vyote miataala inatofautiana laiti tungekuwa tunafanya pepa moja wote yaani UE kama ilivyo NECTA kusingekuwa na huu ujinga unaendelea hapa tungebaki kusifia majengo ya UDSM nasikingine mbona form four mtu ana three anaenda advance anakomaa anapata div 1 au 2 sasa kwann mtu wa DD asiheshimiwe angekua amefelei basi asingechagulliwa
Mtoa post akiona hii atakimbia kimya kimya, Mie nilitaka kusoma course ya accounting ila niliambiwa usiende udsm utatoka hujaiva unapotaka kusoma course fulan angalia chuo chenye hiyo course sio kutafuta jina mwisho wa siku kwenye interview wanaonekana hakuna kitu kichwanNilifanya interview na graduate 8 wa UDSM matokeo ni kwamba nilikua the best ..sijasoma hio UDSM yako.
Ahaahaaa walah sitakaa nitoke jfNa CR wenu huko alikuwa Amber Ruty
Samahani wakuu kwan huyo mtu alikua mwanafunz wa udsm?HAHAHAH!! Mkuu nimecheka sana. Huyo mtu alikuwa mbele madarasa mawili