Ukweli mtupu,nina rafiki yangu kasoma St John University - Dodoma,ila Fb kaandika Amesoma UDSM,mwingine Makumira - Arusha,ila nae kaandika UDSM.
Nenda kasome masters jombaMimi mwenyewe ni graduate ila kitendo cha kuto graduate UDSM shahada yangu naona haina maana jamani
Aisee Cape Town another level baada ya UDSM saiz naelekea ukoMm nimesoma Cape Town University hiyo UDSM naona kama uchafu
HaaaaaUkweli mtupu,nina rafiki yangu kasoma St John University - Dodoma,ila Fb kaandika Amesoma UDSM,mwingine Makumira - Arusha,ila nae kaandika UDSM.
Huyo ni mnyakyusa aisee, hawanaga tofauti na wahaya, niliwahi sema bola nisioe kuliko kuoa hili kabila. Mimi ni kabila langu ndio lkn sikutaka nizae pure mnyakyusa ili nipunguze haya makando kando km mnavyoona.
Joka leo mzee baba kati ya siku zote umeandika ugoro kwa mara ya kwanza. Unaweza ukawa na sababu zako, ila kwa kuwa na wewe umesoma UDSM usitake kupitisha kauli hii kuwa sahihi mzee dingi umechemka hapa.
Ni viongozi wangapi wa nchi wenye nyadhifa kubwa ambao wamesoma hapo lakini ni wasomi uchwara tena wachumia matumbo?
Mimi nadhani kwenye mustakabali wa nchi na maendeleo kiujumla kipaumbele hakipaswi kuangalia eti mtu amesoma wapi. Tuangalie huyu mtu anajua nini na anaweza kuleta jipya gani.
UDSM wasomi uchwara kibao tu tumejazana humu mitaani.
Mkuu kweli kabisa na wote nimesoma nao darasa moja tukahitimu pamoja mimi nikachaguliwa UDSM wao wakaenda huko!!.Haaaaa
Kusoma UDSM halafu unakaa miaka 4 huna ajira na wenzako wamesoma SAUT na wameajiriwa mwaka mmoja toka wamalize kipi bora? Ikiwa mlimaliza pamoja?
Kuna mmoja kamaliza hapo alikua sifa kibao kisa UDSM mwaka wa nne sasa yupo nyumbani.
Kwenye swala la ajira inategemea ni wapi, nenda viwandani huko ukajionee wahitumu na mainjinia wa Arusha tech aka. ATC, DIT na MUST walivyotawala anga na huwezi waskia wakijitapa kuhusu vyuo walivyotok utawatambua kwa kazi zao.
Kuhusu UDSM nakiheshimu sana hiki chuo maana ni chuo mama hapa nchini ila kinachoniskitisha ni viongozi wengi waliolitumbikiza taifa kwenye dimbwi la rushwa na ufisadi ni wahitimu wa hiki chuo chetu bora sasa sijui kwa upande wa maadili na uzalendo UDSM wamekaaje maana elumu bora bila maadili na uzalendo haiwezi kulikumboa taifa.
Sasa angalia akili ya jiwe ilivyo zile ndo products za udsm uselessMagufuli mwenyewe alikuwa na ndoto za kusoma Udsm mwishowe amefanikiwa kupata hadi doctorate.