Kusoma UDSM ni dhamana

Kusoma UDSM ni dhamana

Ugonile bandugu!

Kusomea udsm ni zaidi ya watu wafikiriavyo katika taifa hili. Kusomea Udsm ni moja tiketi ya heshima katika taifa letu hasa kwenye ishu za elimu. Maisha ya mtu aliyesomea Udsm huwa tofauti kwa kiasi fulani na waliosomea Vyuo vingine. Sio kwenye siasa, uchumi, mahusiano, na mambo mingine kusomea Udsm hukupa ahueni ya maisha kiasi fulani.

Kwenye Mahusiano ya mapenzi ambayo huzalisha ndoa. Mwanaume aliyesomea Udsm angalau hupewa heshima kulingana na chuo alichotokea. Mwanamke hujivunia mwanaume aliyesomea Udsm kwa huonekana anaakili za shule kumbe wakati mwingine ni popoma. Mwanamke aliyesomea Udsm linapokuja suala la elimu humuona mume wake anamapungufu endapo hakusoma katika chuo tajwa. Watoto hujivunia kuwa na Baba aliyesoma Udsm kuliko vyuo vingine.

Ishu ya kazi, wahitimu wa Udsm hufurahia sana kipindi cha usaili kwani hujiona bora kuliko wengine. Hakuna maelezo matamu yanayomfanya mhitimu wa Udsm ajione atachaguliwa kwenye kazi husika kama wakati akijitambulisha wasifu wake wa elimu. Hapa utakuta moyo huwa mwepesi na faraja kiasi. Hilo linafurahisha sana hata kwa waajiri hasa waliotoka kwenye chuo hicho. Ni kama kuna kaubaguzi fulani hvi. Mwana Udsm awapo kazini huhakikisha anafanya kazi kwa ufanisi ili asionekane bongolala. Na hakuna aibu kama mwana udsm akiboronga looh! hiyo itakuwa habari yenye kushangaza sana na ya aibu. Kutokana na sifa ya chuo.

Undugu, Wana Udsm hupendana na kutafutana popote walipo. Usishangae mtu akifika kituo kipya cha kazi kuulizia/kuulizwa wewe umetoka chuo gani. Hapo ndipo mtu hujitutumua; nimesomea Udsm. Na kama hajasomea chuo hicho uso wake hunyong'onyea na usipokuwa makini anaweza kukutukana. Wa-Udsm wakikutana basi huunda urafiki na kuanza mishe za kazi na maisha.

Mitandao ya kijamii, Ukitaka kujua jambo fulani linapewa heshima basi angalia mtazamo wa tabaka la chini kuhusu jambo hilo. Ingia Facebook, 90% ya watumiaji kutoka Tanzania wamesomea Udsm. Hii ni moja ya mambo yanayoonyesha chuo hiki kinaheshimika na ni ndoto ya vijana wengi. Usishangae hata baadhi ya watu humu JF ambao wameandika huko FB kuwa wamesomea Udsm kumbe hawakusomea.

Majukwaa ya Siasa, Wahitimu wa Udsm ndio pekee wenye uthubutu na sasa wanakaribia kupata mamlaka ya kujitambulisha kila mara. Bungeni napo wenye kusikika wakipiga tambo ni hao hao. Utasikia mtu akisema: Nilipokuwa Udsm ndugu mheshimiwa Spika nilikuwa mwenyekiti sijui wa nini. Yaani basi tuu.

Nimalizie kusema kuwa Kusoma Udsm ni dhamana hivyo wahitimu mujidhatiti.
Sikutaka sifa niliamua kusoma chuo cha "TUYAJENGE SACCOS COLLEGE"

Povu linaruhusiwa
Hii zamani mkuu. Siku hizi watu wanaangalia program. Huwezi ukawa unesima socialogy UDSM na mwengine amesoma economics mzumbe alafu wew wa UDSM ukawa proud
 
Sio Kweli Mkuu
Cc😡GENTAMICINE
 
TUNAUZA SURA KWENYE MAGAMBA YETU BUT CHE MTEMA KUNI TUMEKIONA YANI SITAKI HATA KUPAKUMBUKA MSULI WA PALE NI KUKOMOANA TU .
 
Uliyo yasema baadhi yana ukweli kwa mfano watu kuwa na mawazo kuwa aliyesoma UDSM ni bora kuliko wengine kumbe Hamna kitu, ila ulipochemka ni pale unapogusia maisha baada ya Chuo hasa,utendaji kazi, maisha ya kila Siku, uchumi nk hapa umechemka zaidi ya maji kwenye moto wa gesi maana kwa uzoefu wangu katika utendaji product nyingi za UDSM ni hovyo kuliko vyuo vingine japo si wote, katika maisha pia hapa hakuna cha uDsm wala st nani...Bali ni ishu ya MTU binafsi
 
Huyu mtoa post anasifia chuo, watu hatuangalii chuo tunaangalia una nn kichwan kwako mambo ya chuo tunafyekelea mbali
 
Kuna wakati huwa naamua ku~drive through Mlimani nikumbushie enzi na kufurahia nature

~mazingira mwanana ukiwemo uoto mzuri
~Tumbiri wanaochukua vacation na kupiga supp. hata selfie unapiga nao fresh tu...utalii wa ndani.
~ Expectacular Nkurumah hall...icon ya maarifa
~ Breath taking streams and trenches...elimu ya utunzaji mazingira ktk vitendo.
~Historical residential halls...architectural history reference.
~Sporting at its mention...from goat racing to baseball,only at Mlimani gymkhana
~ Mlimani Primary school (University primary school)...an academic inspiration on safari ya elimu.
~Biggest academic and research library in EA and TZ...this attracts no flies but eager learners from nations
~Trustworthy Kiswahili learning center in EA...mind you for decades Kiswahili sanifu has been spreading from this honeycomb now TATAKI.
~The oldest varsity UDSM... "babaako ni babaako tu" Halafu baba hatukanwagi nye watoto.

UDSM ni Havard ya Bongo...UDSM hoiyee

UDSM alumnus N'yadikwa
 
Magufuli mwenyewe alikuwa na ndoto za kusoma Udsm mwishowe amefanikiwa kupata hadi doctorate.
 
Back
Top Bottom