Hayo hayo makaratasi ndugu ndiyo yanayothibitisha shahada yanguHiyo shahada umeitunza wapi? Au unaongelea makaratasi uliyopewa baada ya miaka mitatu au minne?
Ha ha ha hilo jina Mwl nyerere alipenda sana kulitumiaNilienda kufanya field sehemu fulani walikuwa wananiita 'Yule kijana wa chuo kikuu'. Tulikuwa pale na vijana kutoka vyuo vingine lakini walikuwa wanaitwa kwa majina yao.
MkuuMimi ningewafyekelea mbali
Sijasoma content, maana heading tu ni pure arrogance, sasa ulitaka watu wakasome kozi kama Architecture na udaktari UDSM? Fala kweli we jamaa.., vilaza kibao toka UDSM tunawabebesha mafaili huku kitaa, mjinga sana wewe, tena futa liuzi lako.., stupid