Kusingiziwa mtoto ambaye sio wako

Unaweza kuwa sahihi mkuu

Ila DNA ndiyo kipimo cha mwisho chenye uhakika
 
Sas na we mwanetu miez 6 unakubal kutoa tumiz, mimba si miez 9 kabsa, apo kweny kutoa tumiz labd kama ungempa tu kias cha kumsaidia na muachane ivo, ila swala la mtoto we halikuhus kabsa,

Umeyakanyaga mwanetu, ila bado una nafas ya kupindua meza issue iko waz ni ww ndo unacomplicate
 
Unaonekana shoga mzee.

Halfu una nguvu za kiume .

Ndo maana unapalamia watoto wa kubambikiwa
 
Yaani wewe jamaa ni mzembe mno ila sorry kama utakasirika.
Uzembe wa kwanza ulioufanya umelala na malaya pekupeku bila kinga sijui ulijiamini nini.
Uzembe wa pili ulijua kabisa tangu umetembea naye imepita miezi 6 tu halafu umeitwa ustawi wa jamii unakubali kwamba utamgharamia wakati ulijua kabisa kwamba hesabu za miezi haziendani.
Baada ya kukubali kugharamia sasa hivi ndio unashtuka unataka upewe ushauri.
Maana sasa hivi mkirudi tena ustawi watakuuliza swali kama mtoto hakuhusu kwa nini ulipokuja mwanzo ulikubali kwamba utamgharamia?
 
Huu ndio ukweli wenyewe huyo mtoto wanagharamia wanaume wengi
 
Kala tunda kimasihara then anabambikiwa dogo kimasihara daah sio poa kbsa [emoji23][emoji23]
 

Naomba unisaidie mbinu jinsi ya kutegua huu mtego maana unaniumiza sana, na kipato changu hakiko sawa.
 
Naomba unisaidie mbinu jinsi ya kutegua huu mtego maana unaniumiza sana, na kipato changu hakiko sawa.
Kwan we ulikuabal kutoa tumiz kam nan, baba wa mtoto au msamalia tu, na je kulikua na makubaliano yyte ya kimaandishi juu ya kuhudumia mtot?
 

Najua Afsa ustawi ataniuliza hlo swali, ndo mnisaidie mbinu
 
Natamani niandike kitu kwa mtoa mada ila nitapigwa ban bure,ila itoshe kusema ww ni ZWAZWA
 
Watu mna roho ngumu. Unaokota mhudumu wa bar halafu unakwenda kupiga kavu? Mtu ambaye analalwa na kila mtu?

Huyo mtoto ni wako. Lea huyo mtoto acha kuleta za kuleta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…