Kusingiziwa mtoto ambaye sio wako

Wewe utakua mwanaume wa dar sio bure!! Huwezi kuwa kilaza namna hii
 
Kapime DNA ila usimwambie kituo ambacho unaenda kupima.
Ogopa matapeli
Mkuu DNA gani hiyo ya kupimwa kirahisi hivyo kama unapima malaria?Kwani mchakato wake sio mdogo na hufanyika kwenye ofisi ya mkemia mkuu wa serikali tu!!na hilo ombi hulipeleki wewe
 
Na wewe upime dna ya nini wakati ushaambiwa tokea wakutane ni miezi 6? Umeona wapi mtoto anazaliwa baada ya miezi6?
Kijana hapo ishu ni uhakika

Mabishano hayataisha mwanamke atang’ang’ania kuwa mtoto ni wa jamaa

Jamaa atang’ang’ania mtoto ni wake

NB: Jamaa alilewa wakati wa tendo (kulewa ni kulewa tu weka akilini)
Huo MGOGORO hauhitaji negotiation, unahitaji Mediator

Na mediatior ni DNA

Sawa?
 
Sio sawa!

Mkuu mtoto anazaliwa baada ya mieizi mingapi? 6?
 
Hao madem wa kuokoteza wasijue unakofanyia kazi aisee.. I mean hauko committed na mtu, why ajue vitu vingi kukuhusu?

Kwanza hata hawatakiwi kujua unapoishi.

Kama mlisex then after 6 month akwambie kajifungua, huyo mtoto ni njiti au?
Mama ushauri Depal nimekuelewa sana..!!
 
Umenunua K bado ukala mbichi. Hii nchi ndio maana bado tunaongozwa na CCM chama makini sana. Kama mpiga kura uko hv.
 
Umefanya series ya makosa
1.Kuuza mechi
2.ukamwagia ndani
3.Miezi 6 mtoto kazaliwa hukohoji ukakubali?
4.Ukashindwa kukaza uzi ulipoitwa ustawi wa jamii hapo hapo ungekaza uzi mkapime DNA
5.Ukakubali kuhudumia mtoto kwaiyo ndo kashakua mwanao tena.
Mwisho hongera kwakuwa baba wa kufikia unayetoa huduma kwa mtoto,pengine huyo kahaba anaishi na baba halali wa mtoto.
 
Jamaa alilewa!!

Hapa hupaswi kumuamini mama wala jamaa

Tunaamini kipimo

Nimebold hayo maneno ili uelewe maana ya kulewa

KULEWA KULEWA KULEWA!!


Sawa mkuu?
Kwa hiyo jamaa alilewa kiasi kwamba hakumbuki hata mwezi alio sex na huyo dem!?

Yani hata alipo amka (pombe ikiwa imeisha kichwani) hakujua kwamba jana alilala na mtu?

Na kama alijua iweje leo ashindwe kujua siku flani nilala na mtu?

Mkuu uko serious kweli?
 
yaani baada ya miezi sita tangu uzini naye tayari mtoto amezaliwa na ukakubali kutoa matumizi? vijana wa siku hizi akili zenu mmezipeleka wapi?
 
Huyu jamaa sijui ni mshamba wa wapi,?
 
yaani baada ya miezi sita tangu uzini naye tayari mtoto amezaliwa na ukakubali kutoa matumizi? vijana wa siku hizi akili zenu mmezipeleka wapi?
Huyu jamaa ni product ya watu wa hovyo hovyo kwenye hili taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…