Kusingiziwa kunauma sana

Kusingiziwa kunauma sana

Nakumbuka ilikuwa usiku mida kama ya SAA 2 hivi narudi nyumban wakati nipo njiani nikapita nyumba moja hivi jirani na ninapokaa wakati napita nikasikia kama MTU anaoga hivi nikapiga moyo konde coz sina hofu mana mtaani wananijua japo usiku kumbe wakat nakuja yule MTU aliyekuwa anaoga ni baba mwenye nyumba akawa amesikia miguu yangu akaja ile njia nilokuwa nakuja mm ghafla tukakutana akauliza ww nani nikajitambulisha akasema ahaa nakujua nikamuambia basi mm naenda akasema sawa sasa wakati nataka kutoka kumbe binti wa yule mzee alikuwa anaenda chooni aliposikia mm naongea na baba ake akarudi ndani akafunga mlango mm na yule mzee tukasikia kama mlango umefungwa hivi ila. kila MTU akaondoka zake sasa kesho yake mapema tu naona home imekuja barua naitwa serikali za mitaa nikajiuliza kuna nn ile kufika naona yule mzee wa Jana kaja kunishitaki eti kanikuta nimetoka kwa bint yake chumbani dah..nimejitetea sikuwa kwake mzee hanielewi na ameitwa bint kapigwa ile mbaya ila bint kakataa kama hakuwa na mm sasa huyo mzee anataka fidia ya laki mbili wakati sikuwa na bint yake kwa aina yoyote ile nifanye nn na hanielewi
Kama ni kweli Kataa mwambie aende mahakamani kisha lete mrejesho
 
UKITOA UMEKWISHA HIYO LAKI 2 NDO UTAKUWA USHAHIDI USITOE. HUYO BINTI ANA UMRI GANI ASIJE AKAWA KAFUNDISHWA WAKULAMBE MPUNGA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom