Kusingiziwa kunauma sana

Kusingiziwa kunauma sana

Kama wewe una hofu ya MUNGU na hata siku moja hujawahi hata kuzungumza chochote na mtoto wala kumpa hela wala nini BASI MWAMINI MUNGU USITOE HELA YEYOTE MUNGU ATAKUSIMAMIA. La kama unatudanganya ila huyo binti una mahusiano naye basi yamalizeni bila kwenda ktk vyombo vya sheria
 
We mpe hiyo hiyo laki mbili halafu mtafune kweli kufidia
Usawa huu umtafune binti kwa laki mbili?Wala husifanye hivo laki mbili ni pesa mingi mno unaweza ukapata hata zizi la Mademu wengi kwa 10000@
Pia shahidi mwenyewe anakataa so mwambie aende mbele,wakati mwingine tafuta simu ya kurekodi halafu muandalie mazingira ya uwepo binti wakati anakukana/anakataa
Tunza ushahidi make binti anaweza pikwa na babae akakomaa na wewe mpk ushangae
 
Pole sana...

Unaozeshwa mke hapo bila kujijua...

Lipa mahari hiyo, chukua chako, jiongeze...

Cc: @mahomdaw
 
Mwaka 1999 nilikuwa natoka shule na mtoto wa shangazi yangu njia tuliyopita ilikuwa karibu na haya malambo ya maji mengi .Tulikutana na jirani yetu mama mmoja hivi wa makamo tukamsalimie tunaenda zetu nae akaenda zake.But yule maza alivofika home akamwambia shangazi kuwa amenikuta namsukuma mwanae kwenye hilo lambo la maji.Shangazi hakunielewa pamoja na mtoto wake kumueleza kuwa ni uongo hakuelewa kabisa .
Nadhani tumeanza kuongea mwaka jana tu
Iliniuma sana na sitasahau kamwe
 
Huyo maza ukikuta amezidiwa na maradhi njiani utamsaidia?.....hiki kisa chako kinafanana mno na changu ila mimi kimezidi asee
 
Nakumbuka ilikuwa usiku mida kama ya SAA 2 hivi narudi nyumban wakati nipo njiani nikapita nyumba moja hivi jirani na ninapokaa wakati napita nikasikia kama MTU anaoga hivi nikapiga moyo konde coz sina hofu mana mtaani wananijua japo usiku kumbe wakat nakuja yule MTU aliyekuwa anaoga ni baba mwenye nyumba akawa amesikia miguu yangu akaja ile njia nilokuwa nakuja mm ghafla tukakutana akauliza ww nani nikajitambulisha akasema ahaa nakujua nikamuambia basi mm naenda akasema sawa sasa wakati nataka kutoka kumbe binti wa yule mzee alikuwa anaenda chooni aliposikia mm naongea na baba ake akarudi ndani akafunga mlango mm na yule mzee tukasikia kama mlango umefungwa hivi ila. kila MTU akaondoka zake sasa kesho yake mapema tu naona home imekuja barua naitwa serikali za mitaa nikajiuliza kuna nn ile kufika naona yule mzee wa Jana kaja kunishitaki eti kanikuta nimetoka kwa bint yake chumbani dah..nimejitetea sikuwa kwake mzee hanielewi na ameitwa bint kapigwa ile mbaya ila bint kakataa kama hakuwa na mm sasa huyo mzee anataka fidia ya laki mbili wakati sikuwa na bint yake kwa aina yoyote ile nifanye nn na hanielewi

nipe namba za huyo binti ntakulipia tuu hiyo faini ila afanye laki kwanza maana nina laki moja leo ina niwasha sana mfukoni
 
Kama wewe una hofu ya MUNGU na hata siku moja hujawahi hata kuzungumza chochote na mtoto wala kumpa hela wala nini BASI MWAMINI MUNGU USITOE HELA YEYOTE MUNGU ATAKUSIMAMIA. La kama unatudanganya ila huyo binti una mahusiano naye basi yamalizeni bila kwenda ktk vyombo vya sheria
Wallah naapa sikuwa na huyo bint kabisaaaa
 
nmekuelewa mkuu leo tumeenda tena serikal za mitaa ila nmekataa kulipa
Usawa huu umtafune binti kwa laki mbili?Wala husifanye hivo laki mbili ni pesa mingi mno unaweza ukapata hata zizi la Mademu wengi kwa 10000@
Pia shahidi mwenyewe anakataa so mwambie aende mbele,wakati mwingine tafuta simu ya kurekodi halafu muandalie mazingira ya uwepo binti wakati anakukana/anakataa
Tunza ushahidi make binti anaweza pikwa na babae akakomaa na wewe mpk ushangae
 
Mwaka 1999 nilikuwa natoka shule na mtoto wa shangazi yangu njia tuliyopita ilikuwa karibu na haya malambo ya maji mengi .Tulikutana na jirani yetu mama mmoja hivi wa makamo tukamsalimie tunaenda zetu nae akaenda zake.But yule maza alivofika home akamwambia shangazi kuwa amenikuta namsukuma mwanae kwenye hilo lambo la maji.Shangazi hakunielewa pamoja na mtoto wake kumueleza kuwa ni uongo hakuelewa kabisa .
Nadhani tumeanza kuongea mwaka jana tu
Iliniuma sana na sitasahau kamwe
mkuu pole sana haya mambo dunian yapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom