Danger alert iko kwenye 75%Kusingekuwepo na chadema,tungekuwa tushatumbukia kwenye shimo refu lenye utelezi mkali, tungekuwa tumeshazama kwenye shimo la udkter,mwalimu nyerere alikuwa na mtazamo wa mbali sana,mwalimu nyerere aliona hatari ya kuendekea kuwa na chama kimoja,hatari yake ni udikter, nyerere alishawai kusema kuwa tukiwa waoga na kusema viongozi wetu ni wakali sana,ipo siku tutatawaliwa na dikter,na kwa hali ilivyo kwa sasa,ndani ya bunge na nnje ya bunge kama sio chadema tungenguwa tushanasa muda mrefu sana, tungenasa kwenye tope zito la udketr,chadema wamechangia sana nchii hii kwa sasa isitumbukie kwenye udikter
Mungu ni mwema,amremu mwalimu nyerere kwa kutuletea vyama vyingi,mungu awajalie wote maisha mema na marefu wale wote wakiompa mwal.nyerere utakatifu
Chadema au UKAWA!Kusingekuwepo na chadema,tungekuwa tushatumbukia kwenye shimo refu lenye utelezi mkali, tungekuwa tumeshazama kwenye shimo la udkter,mwalimu nyerere alikuwa na mtazamo wa mbali sana,mwalimu nyerere aliona hatari ya kuendekea kuwa na chama kimoja,hatari yake ni udikter, nyerere alishawai kusema kuwa tukiwa waoga kukosa viongozi wetu wanavyovunja sheria na kusema viongozi wetu ni wakali sana mpaka ndani ya bunge ,ipo siku tutatawaliwa na dikter,na kwa hali ilivyo kwa sasa,ndani ya bunge na nnje ya bunge kama sio chadema tungekuwa tushanasa muda mrefu sana, tungenasa kwenye tope zito la udketr,chadema wamechangia sana nchii hii kwa sasa isitumbukie kwenye udikter
Mungu ni mwema,amremu mwalimu nyerere kwa kutuletea vyama vyingi,mungu awajalie wote maisha mema na marefu wale wote waliompa mwal.nyerere utakatifu
tunasubili bifu la mbowe na lowasa 2019, wakigombania hisa zao chadema, je mbowe atampa lowasa chama chakeHilo lipi wazi ndio maana tunaona nguvu kubwa inavyotumika kuipoteza CHADEMA
Nyani haoni naniliu!hivi ukomo wa mwenyekiti wa chadema ni lini? kuna udikteta ulio mkubwa kuliko huu wa mbowe kuto hojiwa na mwanachama yeyote
Utakufa ukisubiritunasubili bifu la mbowe na lowasa 2019, wakigombania hisa zao chadema, je mbowe atampa lowasa chama chake
Vipi kuhusu chairman wenu?hivi ukomo wa mwenyekiti wa chadema ni lini? kuna udikteta ulio mkubwa kuliko huu wa mbowe kuto hojiwa na mwanachama yeyote
hivi ukomo wa mwenyekiti wa chadema ni lini? kuna udikteta ulio mkubwa kuliko huu wa mbowe kuto hojiwa na mwanachama yeyote
Mwenyekiti wetu hana miaka mingi sana kama lipumba,au marema,mpaka afikishe miaka ya mrema,cheo na wengine,lkn usisahau kuwa chadema ndicho chama kilichoongozwa na wenyeviti wengi kuliko chama chochote cha siasa,chama kina miaka 25 wenyeviti 3,cmm inamiaka 70 wenyeviti 4Vipi kuhusu chairman wenu?
Ha ha haaa. Ukiwa unatetea ujinga unakuwa unapata tabu sana. JPM ni Raisi wa Tanzania kwa muda gani ? na ni mwenyekiti wa CCM kwa muda gani? THEN Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda gani? Then ukishajibu haya tuambie nani ni Dikteta.Mwenyekiti wetu hana miaka mingi sana kama lipumba,au marema,mpaka afikishe miaka ya mrema,cheo na wengine,lkn usisahau kuwa chadema ndicho chama kilichoongozwa na wenyeviti wengi kuliko chama chochote cha siasa,chama kina miaka 25 wenyeviti 3,cmm inamiaka 70 wenyeviti 4
Hahahaha ewah!hivi ukomo wa mwenyekiti wa chadema ni lini? kuna udikteta ulio mkubwa kuliko huu wa mbowe kuto hojiwa na mwanachama yeyote
Ha ha haaa. Ukiwa unatetea ujinga unakuwa unapata tabu sana. JPM ni Raisi wa Tanzania kwa muda gani ? na ni mwenyekiti wa CCM kwa muda gani? THEN Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda gani? Then ukishajibu haya tuambie nani ni Dikteta.
tunasubili bifu la mbowe na lowasa 2019, wakigombania hisa zao chadema, je mbowe atampa lowasa chama chake
Kwa taarifa yako chedema ndio chama pekee chenye muda mfupi lkn chenye wenyeviti wengi waliowai kukiongoza kuliko chama chochote,chama ina miaka 25 imeongozwa na vinyeviti 3 swali ccm ina miaka 70 imeongozwa na wenyeviti wangapi?Ha ha haaa. Ukiwa unatetea ujinga unakuwa unapata tabu sana. JPM ni Raisi wa Tanzania kwa muda gani ? na ni mwenyekiti wa CCM kwa muda gani? THEN Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda gani? Then ukishajibu haya tuambie nani ni Dikteta.
Kwa taarifa yako chedema ndio chama pekee chenye muda mfupi lkn chenye wenyeviti wengi waliowai kukiongoza kuliko chama chochote,chama ina miaka 25 imeongozwa na vinyeviti 3 swali ccm ina miaka 70 imeongozwa na wenyeviti wangapi?
Pigie kelele mrema lipumba cheo na kina dovutwa