lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Kusingekuwepo na chadema,tungekuwa tushatumbukia kwenye shimo refu lenye utelezi mkali, tungekuwa tumeshazama kwenye shimo la udkter,mwalimu nyerere alikuwa na mtazamo wa mbali sana,mwalimu nyerere aliona hatari ya kuendekea kuwa na chama kimoja,hatari yake ni udikter, nyerere alishawai kusema kuwa tukiwa waoga kukosa viongozi wetu wanavyovunja sheria na kusema viongozi wetu ni wakali sana mpaka ndani ya bunge ,ipo siku tutatawaliwa na dikter,na kwa hali ilivyo kwa sasa,ndani ya bunge na nnje ya bunge kama sio chadema tungekuwa tushanasa muda mrefu sana, tungenasa kwenye tope zito la udketr,chadema wamechangia sana nchii hii kwa sasa isitumbukie kwenye udikter
Mungu ni mwema,amremu mwalimu nyerere kwa kutuletea vyama vyingi,mungu awajalie wote maisha mema na marefu wale wote waliompa mwal.nyerere utakatifu
Mungu ni mwema,amremu mwalimu nyerere kwa kutuletea vyama vyingi,mungu awajalie wote maisha mema na marefu wale wote waliompa mwal.nyerere utakatifu