USTAADHI
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 1,516
- 136
TUNTEMEKE,
Huwa napingana sana na wewe ka hoja za kuhit persola zaidi lakini kwa hili nasema nipo pamoja na wewe hizi Organsations za CHASO zipo hoi sana kwnye vyuo ni kama vile hawan miongiozo zinajiendesha kwa uatashi watu binafsi ni vema kukawa na mapango endelevu wa kuzitambua na kuziwezesha kimikakati ili ziwe chanzo cha viongozi hodari hapo baadaye.
Hili la kuwanyima MIC naweza kulisema ni jambo la kujipanaga kama vinajan wanalao jambo ambalo wanataka kuliongea sidhani kama HENCHE anaweza kuwazuia na hata kama akiwazuia wanaweza kupeleka malalamiko yao mahali panapo husika.
Mwisho TUMTEMEKE jaribu kwa ukaribu wako wa chama kuwasaidia hao wanaonyimwa fursa jinsi ya kuadress changamoto zao mbele ya viongozi wetu tuliowachangua kuliko kujakilalamika hapa as if wewe si miongoni mwa wanachadema, Naamini kama utakuwa na ujasiri wa kuongea na viongozi wako face bt face matokeo ya lalama zako hapa zitapatiwa ufumbuzi.
View attachment 71793View attachment 71794kwanza HECHE huwa si MC wa mikutano anawezaje kukunyima MIC? halafu angalia kama CHASO na viongozi wa vijijini ni wapi wa muhimu kwa upungufu wa muda na haraka ya kuwahisha mabadiliko kuwatarget zaidi?
zaidi hii picha inaonesha pia mikutano ya chaso so kauli ya CHASSO haina mashiko pia HECHE ndiye kiongozi wa kwanza kuzindua tawi la CHADEMA chuo kikuu SAUT mwaka 2006 ikumbukwe