Kushindwa kwa Heche kuongoza BAVICHA

Kushindwa kwa Heche kuongoza BAVICHA

wanachadema wenzangu sasa ni wakati wa kutafakari bavicha ni taasisi iliyo zaidi ya mtu heche tumempa nafsi asukume mbele gurudumu la bavicha anaposhindwa hatumsemi kama heche ila kama m/kiti wa chama hivyo uzi wangu haujamlenga heche personal ila kama mkuu wa tasisi yetu muhimu if he cnt deliver he should resign leo tunasema ccm inashindwa kwa kuwa na uongozi dhaifu tukiona wa kwetu nao dhaifu tuseme tusiwe waoga wa kusema ukweli

Ndugu inawezeka kunaukweli uyasemayo lakini naomba nipinagane na wewe kidogo hapo kwa ungeweka majukumu na malengo ya BAVICHA waliojiwekea na ambayo chini ya Henche walisema watataka kutatimiza kwa nuda fulani na ukisha ya waka hapa then huainishe yapa ambayo wameshindwa nafikiri hapo tutakuwa na mahali pa kuanzia.

Jambo la pili BAVICHA siyo HENCHE ingwa ni mwenyekiti hawezi akafanya mambo kwa utashi wake tu bila kukubaliana na wenzake ndiyo maana hatujaisika viongozi wengine wenzake wa BAVICHA wakilalamika kwenye vyombo husika tumesikia malalmiko vyombo vya habari au hata social media peke yake ndiyo maana watu walimuona ni mtu wa ajabu na hawafai kumsaidia mwenyekiti kwani naamini wanayo mahali wanaweza kupeleka malalamiko yao kuanzia kwwnye vikao na kwa ngazi ya uongozi taifa, Bianafsi napata picha kuwa wanaolalamika aidha hawawezi kwenda na kasi ya HENCHE ya utendaji so wanajikuta wapo nyuma ya matukio hivyo kujiona wanapitwa na wakati.

Tunajua yeye kama Mk anamapungufu yake kama binadamu lakini kuwa ameshindwa kabisa hiyo nasema hapana, Na mtu yeyote anayejua uongozi wa siasa hawezi kumlinganisha utendaji wa Henche na Mnyika kiala mtu anauwezo na karama yake naamini Henche na Mnyika wapo karibu sana kama kuna lolote natumaini busara za Mnyika na wengine pale Chadema watasaidia.

Mwisho tupunguze majungu tujenge chama badala ya kuja na uzi kama huu ningekushauri unge kuja kwa staili kama hii "MAMBO HAYA NI MUHIMU ILI BAVIVICHA ISONGE MBELE" and so on hapo ningekuheshimu ingawa nakueshimu.
 
Sometime unaweza kudhani CDM hawana good will kuleta mabadiliko. Akina mama wamekuwa na chachu kubwa ya ushindi kwa CCM kupitia UWT lakini CDM haioni haja ya kuiimarisha BAWICHA ili ilete challenge. Wadau wengi wamekuwa wakilalamikia hili lakini hakuna mabadiliko. Muda umefika sasa CDM wachukue hatua

Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote mimi ni mmoja wapo waa ambaonimeandika sana uafifu wa BAWACHA alijitokeza Dr. siku moja akasema atalifanyia kazi labda ni vema kama akaja hapa akasema sema ameshaanza kulifanyia kazi .

Ni vema kujua kwamba wakina mama ni voters wazuri sana ndiyo tegemeo kwa ccm siku zote.
 
Kwanini heche anatumia jina la kaka yake.!!!heche haitwi john heche...john heche ni jina la kaka yake ambaye amemaliza st.agustine mwanza
heche ametumia jina la kaka yake kupenya kwenye tundu la kupata uongozi.
Ndio maana kwenye hoja yangu ya awalo nimesema heche hatembelei chaso kwasababu anaogopa kuzungumza na wasomi??

Mkuu unaonekana unapersonal na Henche kwanini usizungumzie kushindwa kwa BAVICHA unamuattack henche kama yeye kwani BAVICHA yupo pekee yake na siamini eti anaogopa kwasababu wanfuzi watamchallage kwa mambo unayotaka tuaminisha hapa hapana kwani hawa vijana sidhani kama wanakili mioja kama ya kwako kuwa wote watamchallenge kwa mambo ya kibiafsi hiyo hapana.
 
Mkuu tafuta kazi ya kufanya.Huu ujinga wa kuwa na ID feki zaidi ya kumi hautakusaidia wewe wala hilo kundi lako la kitapeli.
Mnachokijua ni kukimbilia Facebook kila siku na kuwatukana matusi ya nguoni viongozi wakuu wa CDM.Adui yenu mnayemjua ni Mbowe,Dr Slaa na Heche.Mbinu zenu kamwe hazitafanikiwa.
Umeona yale majungu uliyoleta dhidi ya Mbowe hapa jamvini umepuuzwa leo ukaibuka na majungu dhidi ya Heche na kesho utamuibukia Dr Slaa.Pole sana.

Huyu alieleta mada ajaribu kutulia kidogo.Vijana wengi ndio wafuasi wa CDM na ukweli unajidhihirisha kwenye nafasi mbalimbali za uongozi zinapojitokeza. Vijana wengi ndo wanaojitokeza kwenye mikutano ya CDM. Wapiga debe waendesha bodaboda na wamachinga wengi wao ni wafuasi wa CDM na ni vijana. Nadhani uongozi wa vijana CDM una mchango wake hapo. Hebu alieleta mada ajaribu kutetea au kuweka sawa haya mambo ili tujue pa kuanzia.
 
Ukiona wanamagamba kama Ritz wanatoa ushauri juu ya chadema ujue panga na marungu ya heche yamewajeruhi,kifupi nilimkuta heche hapa iringa mjini akichapa kazi,sumbawanga na mpanda na pande zote za tanzania je mwanamagamba wewe unashinda wapi sijui mpakaunakuja uharo ha jf

Tena afadhali hawa wakina RITZ na wenzake kwanitunajua wanachokipigania kuliko hawa wanaojita eti wanachadema ni hatari kuliko nyoka na ndimu.
 
Taingia Heche achaguliwe Bavicha kaishatoa matamko zaidi ya 20 ambayo hayana tija yeyote. Kimsingi Heche kashindwa kuwaongoza vijana.
Mkuu acha wivu,huyu jamaa ni jembe na wanachadema wengi wanamkubali.Mimi sina shaka naye kwa kuwa unamponda,ningekuwa nashaka naye kama ungekuwa unamsifia!!
 
Taingia Heche achaguliwe Bavicha kaishatoa matamko zaidi ya 20 ambayo hayana tija yeyote. Kimsingi Heche kashindwa kuwaongoza vijana.

rais ajaye hatoki kaskazini na jina lake analo rais kikwete-uvccm pwani(ridhiwan alikuwepo)
 
huyo jamaa ni mnafiki na mbea kama mwanamke tena mala............. KWA SUALA LA HECHE KUKAA OFISIN UTACHEKWA HATA NA WATOO WADOGO, HECHE ALIKUWA ANZURURA NA KATIBU WAKE MUNIS NCHIN MFANO: IRINGA KWA MACHO YANGU NIMEONA, NJOMBE, SUMBAWANGA NA SEHEM NYING THEN WAKAGAWANYIKA SEHEMU TOFAUTI NA KAZ IKAENDELEA YA KUZUNGUKA
 
:majani7:Kwani wewe hupo nchi gani??? Hakiwa anachanja mbuga mwenge, tarime, mpanda huwa unakuwaga marekani?? au unataka akiwa field aje akuage kwa mkeo???:majani7:
 
wakati najiandaa kukrush agenda zako kwa hoja na kukutahadharisha kwa ushahidi wa picha naomba uweke matukio ya picha ama hata ya video ama hata yanayoakisi matamko binafsi ama yenye maslahi na heche ambayo heche amewahi kuyatoa lakini zaidi ndugu IRON FINGER tutakuonesha kuwa ama uko na watu waliokuwa wakimsubiri heche kufanya siasa za vijiwe za kutarget fedha kutoka kwa viongozi wenye mlengo wa kutaka urais ndani ya chadema, ama wewe ni mwanachama mzuri wa MAGAMBA aliyejificha ndani ya chadema ama basi unajiandaa kupigania posho za serikali kwa njia hii SUBIRI TUKULETEE USHAHIDI WA KAZI NZURI ZA HECHE
 
Taingia Heche achaguliwe Bavicha kaishatoa matamko zaidi ya 20 ambayo hayana tija yeyote. Kimsingi Heche kashindwa kuwaongoza vijana.
Nape ameshatoa matamko mangapi mpaka sasa?

Hasa tamko la kujivua gamba limekuwa na tija kiasi gani?

Martin Shegella naye ametoa mangapi?

UVCCM matamko yao ni machache sana tena yenye tija, hasa lile tamko la mwaka jana(UVCCM-Bagamoyo Decralation) kuwa mgombea wa urais wa CCM hawezi kamwe kutoka Kaskazini hasa Arusha.
 
_zitto hana muda wa kupotea kabisa na huu upuuzi wako.
Muulize heche ni namna gani zitto kamsaidia ...kimsngi heche na zitto ni maswahba sana ndio maana zitto kamwachia gari heche la kufanyia kazi.
Kumhusisha zitto ni kupoteza muda wako bure...zitto sio type yako.
Waliniambia siku nyingi kuwa huwa unatumiwa sana na CCM nikakataa, nikaambiwa kuwa uliuza jimbo 2010 mkoani Mbeya nikakataa kwa vile unavyoonekana mpiganaji nisingekutarajia utoe kauli kama hizi NIMEAMINI, unatumiwa na ccm na uliuza jimbo na ni laana moja kwa moja hutakuja kuwa mbunge
 
Huwa namwona TUNTEMEKA kama mtu anayeweza hata kumuuza mkewe kwa kumtetea zitto na kuichafua CDM..kaja na ID nnyingine.
 
Wakuu leo nakuja na mtazamo tofauti juu ya uwezo mdogo unaoonyeshwa na bwana Heche katika kusukuma mbele ajenda za chama na kuimarisha chama kupitia chombo hiki maalumu cha vijana ndani ya chama


Kwa mtazamo wangu Mh. Heche ameshindwa kuwa na ushawishi hasa zaidi kutumia na kuunganisha vijana wengi ambao wameonyesha matumaini na chama hasa wale walioko kwenye taasisi za vyuo na mashule.
Mh Heche amekuwa mtu wa kukaa ofisini tu na kutoa matamko mengi hasa yakiwa ya kwake binasfi na sio maoni ya vijana.

Mh Heche akili yake yote ipo kwenye kupambana na Mwita Mwikabe kwenye ubunge jimbo la Tarime na sio kusimamia baraza la vijana

Mh Heche kama kiongozi wa vijana asipo badilika na kutumika kwa maslahi ya chama na sio yake binafsi tutarajie BAVICHA dhaifu hasa katika kupambana na nguvu mpya ya CCM.

Nawasilisha
nakupa baadhi ya taswira na picha mbalimbali za matukio yanayomhusisha ama kuashiria utendaji kazi bora wa heche akiwa maeneo mbalimbali ,
TAZAMA nyingine zinaonesha hata HECHE akila miwa ni ishara ya kujituma amalize lengolake la kiutendaji katika mazingira magumu
MATAWI yanaonekana pia akiyazindua
WANACHAMA wameonekana pia wakijiunga na chama kwa ushawishi uliotukuka wa bwana HECHE bila kujali umri ,jinsia,
MAZINGIRA zinaonekana picha za mazingira yasiyoshabihiana hata chembe na mijini bali vijijini





View attachment 71758View attachment 71757View attachment 71759View attachment 71761View attachment 71762View attachment 71755View attachment 71763View attachment 71764View attachment 71765View attachment 71766View attachment 71767View attachment 71768View attachment 71756View attachment 71770View attachment 71771View attachment 71772View attachment 71773View attachment 71774View attachment 71779habari zote zinazohusu picha zote hapo juu ni za kuhusu watu kupewa uanachama na kuwa watiifu maeneo mbalimbali ya nchi na sio huko tarime kama inavyodhaniwa kuwa mema ya heche yanatendeka tarime tu
MIHADHARA
ikumbukwe pia kwamba kazi hii ya upinzani inahitaji moyo saana ndio maana watu wengine inawashinda mnaishia kukaa kwenye keboard mjini na ID mbalimbali mkibuni namna ya kuwachafua wale wasiowapa fedha heche ameonesha kwa vitendo nyie pamoja na nguvu ya kifisadi onesha angalau mikutano yenu mitano tofauti tofauti tuone
picha hizi ni baadhi tu zimepatikana kwa msada wa mitandao mbalimbali tunaweza kuongeza nyingine zaidi kwa faida ya wanajf wanoelewa mtiririko mwema wa kukijenga chama chetu na BAVICHA ILIYOBORA
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Back
Top Bottom